Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ngoja niwafungulie code, huyo ni FAM alichimba makaburi mawili, moja la TAL na Heche huku yeye akiwa kavaa shati la veggies anawasubiria wafe kisiasa awafukie..!! Ili aendelee kutafuna ruzuku na maridhiano.
Matokeo yake kadumbukia mwenyewe na kaona avue na shati la veggies awe free kuogolea kwenye makaburi yaliyojaa maji..!!
Half american umeelewa?
Matokeo yake kadumbukia mwenyewe na kaona avue na shati la veggies awe free kuogolea kwenye makaburi yaliyojaa maji..!!
Half american umeelewa?