Mwenye majibu aje hapa...

Mwenye majibu aje hapa...

Loafer tanzania

Senior Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
162
Reaction score
184
Naomba ukweli kuhusu uhusiano wa kitovu cha mtoto wa kiume kudondokea Jogoo na Jogoo kushindwa kuwika ukubwani..
 
Hiyo ni imani lakini wazazi tunaiogopa kama ukoma,maana hiyo tiba yake wanayosema ili kurudisha nguvu za jogoo ni zaidi ya uuwaji
 
Jibu muafaka lapaswa kutolewa na mtaalam wa mambo ya afya.
 
Aogopacho mpumbavu ndicho kitakachompata.
Mama mmoja mlokole alinitahadhalisha mimi na wife mwanetu asijeangukiwa na kitovu mahali pa siri. Niliumia sana kuona mpaka watu wa Mungu kumezwa na imani mbovu.Hili jambo hata kitaalamu tu halina majibu ya kuridhisha. Watanzania wengi wana miungu 2,3 nakuendelea bila kujalisha wanaabudu misikitini au makanisani.
 
Hakuna uhusiano wowote ni ujinga wa kiafrika na imani zisizo hata na chembe ya uhalisia

Unakuta mtu kasoma vizuri au hata ni daktari lakini anatekwa ufahamu na imani za kijinga kama hizi

AFRICA ndiyo maana hatuendelei
 
Naomba ukweli kuhusu uhusiano wa kitovu cha mtoto wa kiume kudondokea Jogoo na Jogoo kushindwa kuwika ukubwani..
Nilishawahi kusikia hizo swaga, alafu ishu nyingine wanasema mtoto wa kiume akishazaliwa kama ni dume la mbegu lazima kitu kisimame on spot,na kama hakijasimama mama yake hugusisha kadushe ka mwanae kwenye K yake ili mtoto akikua aweze kupiga mechi kama kawa.
 
Duh
 
Sayansi ya Afrika ni ngumu sana mkuu sidhani kama kuna mwenye majibu!
 
Nilishawahi kusikia hizo swaga, alafu ishu nyingine wanasema mtoto wa kiume akishazaliwa kama ni dume la mbegu lazima kitu kisimame on spot,na kama hakijasimama mama yake hugusisha kadushe ka mwanae kwenye K yake ili mtoto akikua aweze kupiga mechi kama kawa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Nadhani wahenga walisema hivyo ili kitovu kipewe uangalizi wa ziada... Yani kiangaliwe maendeleo yake kwani kitovu ni sehemu muhimu sana sana pale mtoto akiwa mchanga
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hizo imani zipo na zina fanya kazi kutokana na mtu anavyoelewa,
Si vyema kujua mambo yote,
Kuna mambo mengine mengi nime yafahamu mpaka nijalaumuu kwa nini nimefahamu mambo hayo.
NOTE: HAYA HUSIANI NA HAYA YENU YA KISHIRIKINA.
 
Back
Top Bottom