Loafer tanzania
Senior Member
- Apr 28, 2017
- 162
- 184
Naomba ukweli kuhusu uhusiano wa kitovu cha mtoto wa kiume kudondokea Jogoo na Jogoo kushindwa kuwika ukubwani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri wenye majibu..Sielewi kabisa
Sawa mkuuSubiri wenye majibu..
Wanafanyaje..Hiyo ni imani lakini wazazi tunaiogopa kama ukoma,maana hiyo tiba yake wanayosema ili kurudisha nguvu za jogoo ni zaidi ya uuwaji
Nilishawahi kusikia hizo swaga, alafu ishu nyingine wanasema mtoto wa kiume akishazaliwa kama ni dume la mbegu lazima kitu kisimame on spot,na kama hakijasimama mama yake hugusisha kadushe ka mwanae kwenye K yake ili mtoto akikua aweze kupiga mechi kama kawa.Naomba ukweli kuhusu uhusiano wa kitovu cha mtoto wa kiume kudondokea Jogoo na Jogoo kushindwa kuwika ukubwani..
DuhNilishawahi kusikia hizo swaga, alafu ishu nyingine wanasema mtoto wa kiume akishazaliwa kama ni dume la mbegu lazima kitu kisimame on spot,na kama hakijasimama mama yake hugusisha kadushe ka mwanae kwenye K yake ili mtoto akikua aweze kupiga mechi kama kawa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nilishawahi kusikia hizo swaga, alafu ishu nyingine wanasema mtoto wa kiume akishazaliwa kama ni dume la mbegu lazima kitu kisimame on spot,na kama hakijasimama mama yake hugusisha kadushe ka mwanae kwenye K yake ili mtoto akikua aweze kupiga mechi kama kawa.
umeshazaa hata mara moja ww....? utupe uzoef wako[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mie nimebahatik girl kwa kweli nikipata kidume nitakuja kuchangia mkuuumeshazaa hata mara moja ww....? utupe uzoef wako
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]