Bila shuka
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 596
- 294
Hakuna kitu icho kabisa ni itikadi za imani potofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ni waafrika jamani inabidi tujikubali tusijitie uzungu wakati uzungu si wetu swala la imani potofu zipo kila kona ya duniaHakuna uhusiano wowote ni ujinga wa kiafrika na imani zisizo hata na chembe ya uhalisia
Unakuta mtu kasoma vizuri au hata ni daktari lakini anatekwa ufahamu na imani za kijinga kama hizi
AFRICA ndiyo maana hatuendelei
Waafrika hatuna Sayansi, tuna Uchawi.Sayansi ya Afrika ni ngumu sana mkuu sidhani kama kuna mwenye majibu!
Yaweke humu ndani tuyajue ukweli wakeHizo imani zipo na zina fanya kazi kutokana na mtu anavyoelewa,
Si vyema kujua mambo yote,
Kuna mambo mengine mengi nime yafahamu mpaka nijalaumuu kwa nini nimefahamu mambo hayo.
NOTE: HAYA HUSIANI NA HAYA YENU YA KISHIRIKINA.
hata girl akidondokewa anakuwa KIKOJOZI WA MUDA MREFU NA MWISHOWE UKUBWANI HAZAI NG'OO! HATA AENDE KWA GYNE SUPER SPECIALIST!Mie nimebahatik girl kwa kweli nikipata kidume nitakuja kuchangia mkuu
WAAMBIE HAWA MKUU,NI IMANI NA INAFANYA KAZI KAMA AMBAVYO UTAAMBIWA USILE SAMAKI NA MAZIWA KWA WAKATI MMOJA KILA MARA!Hizo imani zipo na zina fanya kazi kutokana na mtu anavyoelewa,
Si vyema kujua mambo yote,
Kuna mambo mengine mengi nime yafahamu mpaka nijalaumuu kwa nini nimefahamu mambo hayo.
NOTE: HAYA HUSIANI NA HAYA YENU YA KISHIRIKINA.
zaa mtoto wako halafi mfanyie majaribio kisha UJE UWAPE WANAJAMII USHUHUDA!Hakuna kitu icho kabisa ni itikadi za imani potofu
Mkuu na stress hizi kweli dyudyu itasimama ? Mshahara umekatwa 15% ya heslb, una mashaka ya vyeti fake, utendaji wako Wa mashaka(unaweza kutumbuliwa mda wowote), home wife haeleweki yaani full of stress. Khaa unaanzaje kusimamisha.Hilo swala sio kweli ila wazee waliamua kufanya hivyo kulingana na umuhimu wake. Hakuna kabila ambalo hakuna imani za kishirikina na kitovu kikitumika katika imani hizo kina nguvu zaidi ya vitu vingine. Kinaweza kutumika kumdhuru mtoto,mama na baba kwa wakati mmoja na ndiyo maana kwa baadhi ya familia kitovu lazima kisaliwe na kiwekwe mahali ambapo wanaamini mtoto wao atakuwa salama.
Kuhusu mtoto kusinamisha anapozaliwa hiyo ni kweli na hata mwanaume ambaye ni rijali akiamka lazima mashine ishtuke ukiona haishtuki anza kutafuta uvunbuzi
Mkuu tunaomba tu jibuAogopacho mpumbavu ndicho kitakachompata.
Mama mmoja mlokole alinitahadhalisha mimi na wife mwanetu asijeangukiwa na kitovu mahali pa siri. Niliumia sana kuona mpaka watu wa Mungu kumezwa na imani mbovu.Hili jambo hata kitaalamu tu halina majibu ya kuridhisha. Watanzania wengi wana miungu 2,3 nakuendelea bila kujalisha wanaabudu misikitini au makanisani.
[emoji15] [emoji15]Nilishawahi kusikia hizo swaga, alafu ishu nyingine wanasema mtoto wa kiume akishazaliwa kama ni dume la mbegu lazima kitu kisimame on spot,na kama hakijasimama mama yake hugusisha kadushe ka mwanae kwenye K yake ili mtoto akikua aweze kupiga mechi kama kawa.
sure mkuu[emoji15] [emoji15]
Hii ni mpya
Majibu sina meneja wanguMkuu tunaomba tu jibu
Naunga mkono hoja..Anayebisha ajaribu kwa mtoto wake then alete mrejesho
Kutokana na mada tajwa hapo sidhani kama wapo watakaothubutuAnayebisha ajaribu kwa mtoto wake then alete mrejesho
Hapo sawa mkuuMajibu sina meneja wangu