Mwenye majibu aje hapa...

Mwenye majibu aje hapa...

Hakuna uhusiano wowote ni ujinga wa kiafrika na imani zisizo hata na chembe ya uhalisia

Unakuta mtu kasoma vizuri au hata ni daktari lakini anatekwa ufahamu na imani za kijinga kama hizi

AFRICA ndiyo maana hatuendelei
Sisi ni waafrika jamani inabidi tujikubali tusijitie uzungu wakati uzungu si wetu swala la imani potofu zipo kila kona ya dunia
 
Hizo imani zipo na zina fanya kazi kutokana na mtu anavyoelewa,
Si vyema kujua mambo yote,
Kuna mambo mengine mengi nime yafahamu mpaka nijalaumuu kwa nini nimefahamu mambo hayo.
NOTE: HAYA HUSIANI NA HAYA YENU YA KISHIRIKINA.
Yaweke humu ndani tuyajue ukweli wake
 
Hilo swala sio kweli ila wazee waliamua kufanya hivyo kulingana na umuhimu wake. Hakuna kabila ambalo hakuna imani za kishirikina na kitovu kikitumika katika imani hizo kina nguvu zaidi ya vitu vingine. Kinaweza kutumika kumdhuru mtoto,mama na baba kwa wakati mmoja na ndiyo maana kwa baadhi ya familia kitovu lazima kisaliwe na kiwekwe mahali ambapo wanaamini mtoto wao atakuwa salama.

Kuhusu mtoto kusinamisha anapozaliwa hiyo ni kweli na hata mwanaume ambaye ni rijali akiamka lazima mashine ishtuke ukiona haishtuki anza kutafuta uvunbuzi
 
Mie nimebahatik girl kwa kweli nikipata kidume nitakuja kuchangia mkuu
hata girl akidondokewa anakuwa KIKOJOZI WA MUDA MREFU NA MWISHOWE UKUBWANI HAZAI NG'OO! HATA AENDE KWA GYNE SUPER SPECIALIST!
 
Hizo imani zipo na zina fanya kazi kutokana na mtu anavyoelewa,
Si vyema kujua mambo yote,
Kuna mambo mengine mengi nime yafahamu mpaka nijalaumuu kwa nini nimefahamu mambo hayo.
NOTE: HAYA HUSIANI NA HAYA YENU YA KISHIRIKINA.
WAAMBIE HAWA MKUU,NI IMANI NA INAFANYA KAZI KAMA AMBAVYO UTAAMBIWA USILE SAMAKI NA MAZIWA KWA WAKATI MMOJA KILA MARA!
 
Hilo swala sio kweli ila wazee waliamua kufanya hivyo kulingana na umuhimu wake. Hakuna kabila ambalo hakuna imani za kishirikina na kitovu kikitumika katika imani hizo kina nguvu zaidi ya vitu vingine. Kinaweza kutumika kumdhuru mtoto,mama na baba kwa wakati mmoja na ndiyo maana kwa baadhi ya familia kitovu lazima kisaliwe na kiwekwe mahali ambapo wanaamini mtoto wao atakuwa salama.

Kuhusu mtoto kusinamisha anapozaliwa hiyo ni kweli na hata mwanaume ambaye ni rijali akiamka lazima mashine ishtuke ukiona haishtuki anza kutafuta uvunbuzi
Mkuu na stress hizi kweli dyudyu itasimama ? Mshahara umekatwa 15% ya heslb, una mashaka ya vyeti fake, utendaji wako Wa mashaka(unaweza kutumbuliwa mda wowote), home wife haeleweki yaani full of stress. Khaa unaanzaje kusimamisha.
 
Aogopacho mpumbavu ndicho kitakachompata.
Mama mmoja mlokole alinitahadhalisha mimi na wife mwanetu asijeangukiwa na kitovu mahali pa siri. Niliumia sana kuona mpaka watu wa Mungu kumezwa na imani mbovu.Hili jambo hata kitaalamu tu halina majibu ya kuridhisha. Watanzania wengi wana miungu 2,3 nakuendelea bila kujalisha wanaabudu misikitini au makanisani.
Mkuu tunaomba tu jibu
 
Nilishawahi kusikia hizo swaga, alafu ishu nyingine wanasema mtoto wa kiume akishazaliwa kama ni dume la mbegu lazima kitu kisimame on spot,na kama hakijasimama mama yake hugusisha kadushe ka mwanae kwenye K yake ili mtoto akikua aweze kupiga mechi kama kawa.
[emoji15] [emoji15]

Hii ni mpya
 
Hii kitu wanaobisha wote hawana ushahidi ila kwa sisi tuliokulia vijijini, kitovu ni sehemu ambayo si ya mchezo, ndio maana wazazi wanapomuuguza mfyele hawawezi kuondoka mpaka kitovu kitoke kwa uangalizi mkali.
 
Back
Top Bottom