Mwenye maono akifa vitu vyote hufa kibudu, viwanda vilivyoanzishwa na Magufuli mbona havikuwa magofu?

Nilichojaribu kujifunza kutokana na michango ya wadau hapa ni kwamba, tunaupinzani wa hovyo kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba, vile wanavyoona vikijengwa na serikali yao si vitu vya kushikika ila ni upepo!

huu now ni uhuni
Hatuna wapinzani ni wahuni tu wasaka tonge. Ndiyo maana mambo ya msingi ya kuleta maendeleo kama alivyosimamia Magu walipiga vita na kudanganya wananchi.
Sasa hivi wameonjeshwa asali wamebadili mashahiri!
 
Kama maono ya viwanda ni ile vyerehani vitatu kuitwa kiwanda au tanuru la maandazi kuitwa kiwanda basi vife na vifutike kabisa usoni mwa nchi yetu kama yeye mwenyewe alivyofutika. Ule upumbavu wa Magufuli hatuutaki tena kamwe. Peleka ujinga Chato
 
Kama maono ya viwanda ni ile vyerehanani vitatu kuitwa kiwanda au tanuru la maandazi kuitwa kiwanda basi vife na vifutike kabisa usoni mwa nchi yetu kama yeye mwenyewe alivyofutika. Ule upumbavu wa Magufuli hatuutaki tena kamwe. Peleka ujinga Chato
Ninachojaribu kujifunza kutokana na michango ya wadau hapa ni kwamba, tunaupinzani wa hovyo kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba, vile wanavyoona vikijengwa na serikali yao si vitu vya kushikika ila ni upepo!

huu now ni uhuni
 
Magufuli alijenga viwanda gani boss, zile propaganda za viwanda 4,000+ inaonekana uliamini. Jafo aliagiza vijengwe viwanda 100 kila mkoa ikageuka kuwa futuhi.

Ukitaka kujua habari za viwanda kipindi cha Magufuli ilikuwa ni utapeli wa wazi, fuatilia kwenye kampeni zake za uchaguzi wa 2020 kama kuna popote Magufuli alithubutu kutamka hata kwa bahati mbaya, kuwa serekali yake itakuwa ya viwanda kama alivyokuwa akitamba kwenye kampeni za 2015.
 
Acheni propaganda za kipumbavu.
Magufuli hakuanzisha viwanda , ilikuwa propaganda tu

Nilikuwa nacheka eti alikuwa anaenda kufungua viwanda, viwanda vyenyewe sasa vilikuwepo bali vilikuwa vinapigwa rangi kisha anajifanya kwenda kuvizindua! Baada ya wetu kumponda huku mitandaoni ikabidi aache.
 
Nilichojaribu kujifunza kutokana na michango ya wadau hapa ni kwamba, tunaupinzani wa hovyo kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba, vile wanavyoona vikijengwa na serikali yao si vitu vya kushikika ila ni upepo!

huu now ni uhuni
Wote tunatembea wewe usitufanye watoto huko Tanga mm niimetola Tanga juzi hivyo viwanda vipo wilaya gani ?
 
Noma sana!
 
Wote tunatembea wewe usitufanye watoto huko Tanga mm niimetola Tanga juzi hivyo viwanda vipo wilaya gani ?
Upinzani ni mzuri unapokuwa na facts jadidi na sio huu wa kupinga tu, wananchi wanayo macho na mikono ya kugusa wanayo, yaani upinzani ambao uko hapa kwetu ni ule serikali imewaletea wananchi kivuko fulani, halafu upinzani unasema hicho siyo kivuko bali ni upepo tu ule

Hii siyo sawa mkuu
 
Wote tunatembea wewe usitufanye watoto huko Tanga mm niimetola Tanga juzi hivyo viwanda vipo wilaya gani ?
umenifurahisha mkuu, hiyo uliyoandika neno nimetola hiyo ni lugha gani chief au umenena kwa lugha! 🤔
 
Usilete siasa uchwara kwenye maisha ya watu,huyo unayemsema aliwachangia mtaji? Alikuwa Managing Director wa viwanda?

Maono yapi unayoyasemea wewe?
 
Pesa ni yangu, halafu ikatumike kumfurahisha mtu wakati kwangu ni hasara?

Unataka kusema wale walianza ujenzi huo hawakuangalia hasara?
 
Nchi hii akiingia Rais wa Nyota na Mwezi basi ujue ni kula Bata sana na kazi kidogo na akiingia Rais wa msalaba basi ni kazi kwa kwenda mbele na Bata kidogo.
Kwaiyo kuwa mvumilivu mpaka 2030 uko,vitajengwa!
 
Nilichojaribu kujifunza kutokana na michango ya wadau hapa ni kwamba, tunaupinzani wa hovyo kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba, vile wanavyoona vikijengwa na serikali yao si vitu vya kushikika ila ni upepo!

huu now ni uhuni
Kwani waliokujibu hapa ni wapinzani au wananchi wa kawaida? Wewe uliyefungua huu uzi ni mpinzani pia?
 
Hizo ndo tabia za sole proprietorship haina utofauti sana na udikteta yaani sifa kuu akifa mwanzilishi na vyote hufa.
 
Hatuna wapinzani ni wahuni tu wasaka tonge. Ndiyo maana mambo ya msingi ya kuleta maendeleo kama alivyosimamia Magu walipiga vita na kudanganya wananchi.
Sasa hivi wameonjeshwa asali wamebadili mashahiri!

Kuna wahuni zaidi ya CCM wanaoiba kila siku. Mpina katuambia kuwa Mwigulu pekee yake kaiba shilingi Trilioni moja na milioni Mia Saba. Tatizo lako unahasira na Upinzani kuliko wale walioshikilia madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…