Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Magufuli hakujenga kiwanda chochote.. low IQ znawasumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna wapinzani ni wahuni tu wasaka tonge. Ndiyo maana mambo ya msingi ya kuleta maendeleo kama alivyosimamia Magu walipiga vita na kudanganya wananchi.Nilichojaribu kujifunza kutokana na michango ya wadau hapa ni kwamba, tunaupinzani wa hovyo kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba, vile wanavyoona vikijengwa na serikali yao si vitu vya kushikika ila ni upepo!
huu now ni uhuni
Kama maono ya viwanda ni ile vyerehani vitatu kuitwa kiwanda au tanuru la maandazi kuitwa kiwanda basi vife na vifutike kabisa usoni mwa nchi yetu kama yeye mwenyewe alivyofutika. Ule upumbavu wa Magufuli hatuutaki tena kamwe. Peleka ujinga ChatoShida ni nini?
Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa,
Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu!
Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda hivyo, wako wapi? Mbona wanavitekeleza?
Ni nini kimikumba hii wizara ya viwanda?
Nimekuwa nikipita sehemu mbalimbali nchini na ambako kulikuwa kumeshamili uanzishwaji wa viwanda, kama mikoa ya Pwani, kwa maana ya Daresalam, Pwani na morogoro mpaka Tanga, hali si shwali!
Ndio kusema mwenye maono kafa na maono yake?
Vijana tunataka ajira, wizara ya viwanda izungumze na wawekezaji hawa
Kisamv,
Kwa sasa niko safarini Dar- Tanga
Ninachojaribu kujifunza kutokana na michango ya wadau hapa ni kwamba, tunaupinzani wa hovyo kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba, vile wanavyoona vikijengwa na serikali yao si vitu vya kushikika ila ni upepo!Kama maono ya viwanda ni ile vyerehanani vitatu kuitwa kiwanda au tanuru la maandazi kuitwa kiwanda basi vife na vifutike kabisa usoni mwa nchi yetu kama yeye mwenyewe alivyofutika. Ule upumbavu wa Magufuli hatuutaki tena kamwe. Peleka ujinga Chato
Shida ni nini?
Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa,
Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu!
Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda hivyo, wako wapi? Mbona wanavitekeleza?
Ni nini kimikumba hii wizara ya viwanda?
Nimekuwa nikipita sehemu mbalimbali nchini na ambako kulikuwa kumeshamili uanzishwaji wa viwanda, kama mikoa ya Pwani, kwa maana ya Daresalam, Pwani na morogoro mpaka Tanga, hali si shwali!
Ndio kusema mwenye maono kafa na maono yake?
Vijana tunataka ajira, wizara ya viwanda izungumze na wawekezaji hawa
Kisamv,
Kwa sasa niko safarini Dar- Tanga
Acheni propaganda za kipumbavu.
Magufuli hakuanzisha viwanda , ilikuwa propaganda tu
Wote tunatembea wewe usitufanye watoto huko Tanga mm niimetola Tanga juzi hivyo viwanda vipo wilaya gani ?Nilichojaribu kujifunza kutokana na michango ya wadau hapa ni kwamba, tunaupinzani wa hovyo kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba, vile wanavyoona vikijengwa na serikali yao si vitu vya kushikika ila ni upepo!
huu now ni uhuni
Noma sana!Kwanza, mleta mada fahamu.
1. Kiuhalisia vingi havikuwa viwanda, zilikuwa ni blah blah za kumfurahisha mwendazake na kuuhadaa umma. Ndio maana leo hii huvioni tena wala havisemwi kuwepo popote.
2. Viwanda halisi vilikuwa vichache bahati mbaya sana vingi katika hivyo vilianzishwa kisiasa na sio kibiashara, hivyo baada ya muda mchache sana vingekufa na kupotea.
Viwanda gani mkuu?!
Au wamaanisha bodaboda, machinga na cherehani 4?
Upinzani ni mzuri unapokuwa na facts jadidi na sio huu wa kupinga tu, wananchi wanayo macho na mikono ya kugusa wanayo, yaani upinzani ambao uko hapa kwetu ni ule serikali imewaletea wananchi kivuko fulani, halafu upinzani unasema hicho siyo kivuko bali ni upepo tu uleWote tunatembea wewe usitufanye watoto huko Tanga mm niimetola Tanga juzi hivyo viwanda vipo wilaya gani ?
umenifurahisha mkuu, hiyo uliyoandika neno nimetola hiyo ni lugha gani chief au umenena kwa lugha! 🤔Wote tunatembea wewe usitufanye watoto huko Tanga mm niimetola Tanga juzi hivyo viwanda vipo wilaya gani ?
Usilete siasa uchwara kwenye maisha ya watu,huyo unayemsema aliwachangia mtaji? Alikuwa Managing Director wa viwanda?Shida ni nini?
Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa,
Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu!
Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda barabara ya Bagamoyo to Tanga, Dar to Moro, wako wapi? Mbona wanavitelekeza?
Ni nini kimeikumba hii wizara ya viwanda?
Nimekuwa nikipita sehemu mbalimbali nchini na ambako kulikuwa kumeshamili uanzishwaji wa viwanda, kama mikoa ya Pwani, kwa maana ya Daresalam, Pwani na Morogoro mpaka Tanga, hali si shwali!
Ndio kusema mwenye maono kafa na maono yake?
Vijana tunataka ajira, wizara ya viwanda izungumze na wawekezaji hawa
VIWANDA VIPYA MKOA WA DAR ES SALAAM
Taarifa ya idadi ya viwanda vikubwa na vya kati vilivyoanzishwa katika kipindi cha Januari, 2016 hadi Machi, 2018 katika Mkoa wa
Dar es Salaam.
Na. Wilaya Idadi ya Viwanda vikubwa na vyakati1 Ilala 522 Temeke 513 Kigamboni 54. Ubungo 145 Kinondoni 35 Jumla 157
Orodha ya viwanda hivyo kwa kila Halmashauri imeambatishwa. Aidha orodha hii haihusishi viwanda vidogo vidogo kama ushonaji , uhunzi useremala usindikaji mdogo wa vyakula, utengenezaji wa batiki, ufyatuaji wa matofali n.k
Orodha ya viwanda vikubwa na vya kati vilivyoanzishwa katika kipindi cha Januari, 2016 hadi Machi 2018, katika Mkoa wa Dar es Salaam
`
Na WILAYA JINA LA MRADI WA KIWANDA BIDHAA ZINAZOZALISHWA MAHALI UNAPOTEKELEZWA (KATA/MTAA)
ILALA 1 Colourflex & Coating Ltd Kutengeneza Rangi Nyerere Rd Reg 138606 2 Colourflex&Coating Ltd Kutengeneza Rangi Nyerere Rd Reg 138606 3 Said Salim Bakhersa& Co Ltd Food Processing Pugu Industrial Area Reg 9420 4 Jia Xiang Co Ltd Textile Vingunguti 5 Al Hudah Manufacturing Ltd Bidhaa za Plastic Kipawa Industrial Area 6 Chemi (T) Ltd MatofalinaVigae (Tiles) Tabata 7 BTY Company Ltd Recycle Plastic Materails Buguruni 8 BTY Company Ltd Lead from recycling Batterie Buguruni 9 Uhuru Plastics Ltd Vyombo vya Plastiki Kiwalani 10 Unoplastic (T) Ltd Plastic Containers &Packaging Nyerere Road Ind Area 11 Azania Polybags Ltd Plastic Containers Nyerere Road Ind Area 12 Afriweld Industries Ltd Welding rods Nyerere Road Ind Area 13 Ace Outomotive (T) Ltd Motor cycle Vingunguti 14 Atlantic Metal Ltd Aluminium Stainless steel Nyerere Road Ind Area 15 Atlantic Metal Ltd Aluminium Stainless steel Nyerere Road Ind Area 16 Qingdao Instalation& Construction Tz Co Ltd Building Materials Nyerere Road Ind Area 17 Yalin Global Co Ltd Roofing Materials Tabata Matumbi 18 Zad Investment Ltd Snacks Vingunguti 19 Silk Paint Co Ltd Paints Nyerere Road Ind Area 20 Pugu Nails Wire Ltd Fencing wire ,Wire Mesh, Nails Pugu Mwakanga 21 Esma Industreis Ltd Washing Soap Nyerere Road Ind Area 22 Pharmaceutical washing soap Washing Soap Nyerere Road Ind Area 23 Tropical Aluminium and Glass Industries Ltd Aluminium fabrication,Glass Mandela Road 24 Yuanashi Motorcycle (TZ )Ltd Motorcycle Assembly Vingunguti 25 S.H Afriq (T0 ) Ltd Artificial Human Hair Buguruni 26 Speedy Prints Ltd Corrugated paper bags Kipawa 27 Eco Plastic Ltd PVC Pipes ,HOPE Pipes, Gutter system Pugu Mwakanga 28 Power Recyclers (T) Ltd Lead ingotys, Plastic Wastes Vingunguti 29 Heng Da Development (T) Co Ltd Chair, Plates ,Starch Vingunguti 30 Lotus Essential Ldt Petroleum Gel body cream Nyerere Road Ind Area 31 Eclectic International PV (T) Biscuits Nyerere Road Ind Area 32 Spicast Engineering Ltd Spare parts Vingunguti 33 Kamal EKC Industries Ltd Gas cylinder, Gas Accessories Chang,mbeIndustial area 34 Shimiyu one Investments Ltd Plastic packaging Mandela Raod 35 Pioneer Luggage Co Ltd Leather products Tabata 36 Africa Kitchen Co Ltd Aluminum Kitchen Vingunguti37 Sisco Africa Investment Ltd Corrugated Iron, Roofing sheets, Nails Nyerere Road 38 Candyman Ltd Hard Boiled Candies, Lollipops and Bubble gums Nyerere Road 39 Crown Paints (T) Ltd Paints Nyerere Road 40 Xin He Co Ltd Leather Products Nyerere Road 41 Avestuk Ltd Napkins Wet Tissue Vingunguti 42 MJM Industrial Supplies Ltd Platic Products Buguruni 43 Dolin Investment Co Ltd Plastic Foot wear Kiwalani 44 Mengi Qi Tanzania Cables Ltd Cable Nyerere Road 45 Murzar Wilma East Africa Ltd Vegetable oil Nyerere Road 46 Murzar Wilma East Africa Ltd Detergent powder,laundry Mandela Road 47 Yue Da Co Ltd Plastic Shoes Gerezani 48 Kamaka Co Ltd Steel pipes MwakangaInd Area 49 Yelin International Group Co Ltd Iron Roofing Sheets ,Steel bars Nyerere Road 50 Pandalia Group (T) Ltd Plastic house hold Nyerere Road 51 AutoBot Magic Industrial Co Ltd Motor vehicle parts Nyerere Road 52 Sika Tanzania Construction Chemicals Ltd Chemicals Nyerere Road
TEMEKE 1 Sholumbo Traders Kutengeneza Nyanza Umeme. Kijichi Mission 2 Ben Ismail Company Ltd Kutengeneza Mito na Magodoro. Chang'ombe ''B'' 3 Ham Enterprises Company Ltd Kusaga Chakula cha Kuku. Buza/Buza 4 SahebuZaman Investment Ltd Kutengeneza Sabuni Chang'ombe ''A'' 5 We Recycle Ltd Kusaga Plastic Kavu Kurasini/Kurasini 6 Sea Horse East Africa Ltd Kutengeneza Fibre Gas. Somangila/Mwondo 7 SeifImpex Ltd Kutengeneza Vyombo vya Plastic Mianzini 8 Mai Meals Ltd Kusindika Maji Katika Chupa Somangila/Kizani 9 Mpole Coating Company Ltd Kuengeneza Rangi Yombo Vituka 10 Dam Plastic Ltd KutengenezaMifukoYa Plastic Temeke 11 Pan Africa Enterprises Plastic packaging Chango’mbe 12 Pan Africa Enterprises Petroleum jelly and body lotions and disinfectants Chango’mbe 13 KOPRU International ltd paints Bandari road 14 BOTAN GRP Cashew nut processing Mbagala 15 EIST technology Metal fabrication Kurasini 16 SINOTA Industries Ltd Textile Mandele road 17 SUMA JKT Bottling plant Mgulani 18 Trinity products Alcoholic products Mwakalinga 19 HAWAI Products Powdered milk Chang’ombe 20 LUIMAI Industries Ltd Cleaning materials Chang’ombe Industrial Area 21 Manishh Homeland Nefes Industries Ltd Kutengeneza Bidhaa za Plastiki Charambe/ RangiTatu 22 Sunshire Company Ltd Kutengeneza Mabati Sandali 23 Darling Company Ltd Kutengeneza Nywele bandia Mbagala 24 King lion investment company Assembling of motorcycle Millenium Ubungo 25 Salehebai Glass Safety glass Nyerere road 26 Weiwang Investment ltd Furniture Chango’mbe 27 WLG Investment ltd Recycle of plastic waste Buza Anglkan Church 28 Qingdao Installation Building materials Kurasini 29 Malt plastic ltd Plastic ropes Chang’ombe industrial Area 30 5S Group ltd Non woven fabric bags Service trade 31 Omega Daring Artificial Human hair Charambe mianzini 32 Manash home needs ltd Plastic home utensils Mbagala rangi tatu 33 Supper sip ltd Juice Mbagala Industrial Area 34 Tri Clover Industrial ltd Baking powder ,custody powder Chang’ombe Industrial area 35 Aqua cool ltd Bottled water Service trade area 36 Snom Home textile ltd Bedsheets Mandela Road 37 Kumi Tanzania Co ltd Gumboots Mbagala Industrial area 38 Petro pack Packing Containers Chang’ombe Industrial Area 39 Zheng hui co ltd Toothpick & skewer stick Gerezani Industrial Area 40 Sino Cigarettes co ltd Tobacco and Cigaretes Mbagala Industrial 41 Chang jiang co ltd Aluminum Products Kurasini Industrial Area 42 Hua yang gang co ltd Leather shoes Mbagala mission 43 He Shun int co. ltd Shoes Keko Mwanga 44 Colourfull Industrial ltd plastic Buza mashine ya maji 45 Sal Parking ltd Plastic parking Kiziza 46 S and K Co ltd Stone crushing Mbagala Industrial Area 47 John Bevarages ltd Alcohol Bavarages Chang’ombe Industrial Area 48 Avant Industrial ltd Plastic products Mbagala Industrial Area 49 Star plastic ltd Plastic waste,Plastic granules Chang’ombe Industrial area 50 Sigma Hair Industries Artificial Hair and cosmetics Mbagala rangi tatu 51 Sun share Inv. ltd Steel Tiles Pugu road Industrial Area
KIGAMBONI 1 Teco Plastic Ltd Bidhaa za Plastiki Kisarawe 11 Kichangani 2 Fms Bed Cover & Pillow Kibada 3 Bright star Manufactures Baby diapers Kigamboni Kisiwani 4 Beautiful Forest ltd Building materials Kisarawe II 5 Dolphin Textile Ltd Textile Kisarawe II UBUNGO 1 Fatuma Ally Issa Kusaga Nafaka Manzese 2 Mwakalome Kusaga Nafaka Manzese 3 Rose Mganga Kusaga Nafaka Manzese 4 MuhsinHalidSaggaf Kutengeneza Sabuni M/MojaManzese 5 Azimia Co Ltd Kutengeneza Sabuni Mbezi Luis 6 Tusajigwe Grain And Food Supplies Kutengeza Unga wa Lishe Mabibo 7 Bero BulimbiPicles Kusindika Pilipili UbungoNhc 8 Sonapack T Ltd Kusindika Viungo Mbezi Luis 9 Said Nassoro Mvinga KutengenezaSabuni Mbezi Msigani Malamba Mawili 10 Euromark Uzalishaji wa Pombe Kali(Gin) Makuburi-Mwongozo 11 Emanuel Simon Sendama Distiled Water for Lab Use Ubungo Msewe 12 Maisha Bottles and Beverages Ltd Bottles and Beverages Mabibo 13 Icha Renewable Energy Majikoya SIDO Ubungo 14 Pennecia Candles KutengenezaPipi Kibamba Kiluvya
KINONDONI 1 Fuvin Manufactures Ltd Polyproply Mikocheni Industrial Area 2 BIYCE Ltd Bicycles Mikocheni Industrial Area 3 Setco Ltd Maturuma ya Reli Mikocheni Industrial Area 4 GSM Ltd Magodoro Mikocheni Industrial Area 5 Ju-Ye Conctrete Ltd Concrete Mikocheni Industrial Area 6 Baobab Energy Electronics Energy Mbezi Industrial Area 7 Wonderful Group Water Dispenser Equipments Mbezi Industrial area 8 NFSPI Company Edible Oil Mbezi Industrial area 9 Inhemeter Ltd Assembling of Electronical Smart Link Street 10 Qiang Sheng Co Ltd Animal Feed Bunju A 11 GULF Concrete cement Product Co. Ltd Cement Product Mikocheni Industrial Area 12 Excel Power Transformers Kunduchi Industrial Area 13 CENLIA International Group Company Cosmetics Mikocheni B Industrial Area 14 Mo Soap and Detergent Soap and Detergent Mabibo 15 Linkall Africa Ltd Assembling of Electric Bicycles Mikocheni 16 Ausma Shoes Boko Service 17 The Golden Wheat Co. Ltd Cakes Mbezi Industrial Area 18 Yan xu Batteries Mikocheni Industrial Area 19 Yong Long Plastic Co Ltd Polypylene Woven Bags Tegeta Industrial Area 20 Mak Group of Companies Tissue paper soaps and Detergents Kunduchi Industrial Area 21 Jin xiu Plastic Tanzania Plastic Households Intensils Mbezi Industrial Area 22 JXQ Internatinal investment Ltd Soap Detergents Mikocheni Industial Area 23 Kiboko Pre Paint Roofing Ltd Pre painted roofing sheets Mikocheni Industrial Area 24 Usangu Retreads Ltd Tyre- retreading Mabibo Trade Area 25 G & B Soap Industrial Ltd Sunflower Oil Salasala Industrial Area 26 True Bell Industrial Ltd Alcoholic Bevarage Sinza Light Industrial Area 27 Cheng Xin Investment Company Limited Plastic scrape Mbezi Industrial Area 28 Kibo Spirits(T) Limited Alcohol beverage Sinza service trade 29 Kibo Spirits(T) Limited Bottled water Sinza service trade 30 Blue Nile Distilleries Limited Alcoholic products Mbezi Industrial Area 31 Guo He Tanzania Limited Luggage,cases. Mikocheni Industrial Area 32 Ailipu Tanzania Investment Co. Limited Speaker, Television, Computer, Redio Tegeta industrial Area 33 Cotex Industries Limited Metal products Mbezi Industrial Area 34 Wo Long Enterprises Company Limited Steel roofing sheets Mikocheni Industrial Area 35 Cotex Industries Limited Plastic entails Mbezi Industrial Area
Kisamv,
Kwa sasa niko safarini Dar- Tanga
Pesa ni yangu, halafu ikatumike kumfurahisha mtu wakati kwangu ni hasara?Kwanza, mleta mada fahamu.
1. Kiuhalisia vingi havikuwa viwanda, zilikuwa ni blah blah za kumfurahisha mwendazake na kuuhadaa umma. Ndio maana leo hii huvioni tena wala havisemwi kuwepo popote.
2. Viwanda halisi vilikuwa vichache bahati mbaya sana vingi katika hivyo vilianzishwa kisiasa na sio kibiashara, hivyo baada ya muda mchache sana vingekufa na kupotea.
Nchi hii akiingia Rais wa Nyota na Mwezi basi ujue ni kula Bata sana na kazi kidogo na akiingia Rais wa msalaba basi ni kazi kwa kwenda mbele na Bata kidogo.Shida ni nini?

Hapana typing error tu mpwaumenifurahisha mkuu, hiyo uliyoandika neno nimetola hiyo ni lugha gani chief au umenena kwa lugha! 🤔
Labda we ndio ulikuwa huoni
Kwani waliokujibu hapa ni wapinzani au wananchi wa kawaida? Wewe uliyefungua huu uzi ni mpinzani pia?Nilichojaribu kujifunza kutokana na michango ya wadau hapa ni kwamba, tunaupinzani wa hovyo kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba, vile wanavyoona vikijengwa na serikali yao si vitu vya kushikika ila ni upepo!
huu now ni uhuni
Hatuna wapinzani ni wahuni tu wasaka tonge. Ndiyo maana mambo ya msingi ya kuleta maendeleo kama alivyosimamia Magu walipiga vita na kudanganya wananchi.
Sasa hivi wameonjeshwa asali wamebadili mashahiri!