Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer

Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer

Rekebisha hiyo peper iwe paper. Na sio assistance ni assistant, ulikuwa na usingizi. Nasubiri wachangiaji hayo maswali sina
 
Rekebisha hiyo peper iwe paper. Na sio assistance ni assistant, ulikuwa na usingizi. Nasubiri wachangiaji hayo maswali sina
Daah....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nasubiria maswali piaa...
 
Siku zote mlikuwa mnalala tu mkeka umetoka mnaanza kuhangaika mimi huwa nikiomba tu nafasi misuli inaanza ya ilo somo ukisubiri majina wiki moja lazima usome mpk uchanganyikiwe
 
Mimi kwenye profile wameandika listed hila kwenye list Yao jina alipo
 
Back
Top Bottom