Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakuu,
Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer TRA, atusaidie.
 
Rekebisha hiyo peper iwe paper. Na sio assistance ni assistant, ulikuwa na usingizi. Nasubiri wachangiaji hayo maswali sina
 
Rekebisha hiyo peper iwe paper. Na sio assistance ni assistant, ulikuwa na usingizi. Nasubiri wachangiaji hayo maswali sina
Daah....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nasubiria maswali piaa...
 
Siku zote mlikuwa mnalala tu mkeka umetoka mnaanza kuhangaika mimi huwa nikiomba tu nafasi misuli inaanza ya ilo somo ukisubiri majina wiki moja lazima usome mpk uchanganyikiwe
 
Mimi kwenye profile wameandika listed hila kwenye list Yao jina alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…