Mwenye mwangaza wa kutumia boom

Mwenye mwangaza wa kutumia boom

Jibane uwezavyo, kama utakua UDSM nenda pale caf 1 weka bili ya kula hata miezi miwili
Kingine usinunue maji ya kunywa cha msingi tafuta jagi la kuchemshia maji kwa tuliopita pale tunaita ku-google maji,
Usipende matumizi yasiyo na maana kama kula kula, kunywa soda za pale k/koo kila unapojiskia eti umetoka kusoma usiku unaenda kununua soda/juice na keki wakati ulikua umeshakula chakula cha jioni.
Epuka kula vitu vya bei kubwa kwa kufuata mkumbo kisa umeona mwenzio anakunywa supu na chapata pale caf 2 nawewe unajipima ubavu? Thubutuuu!!!
Punguza outing zako sio kila muda uko mwenge, mara mjini, kingine sehemu kama ubungo ikiwa hauna haraka ni vizuri uende kwa miguu maana utafanya mazoezi na utaepusha gharama.
Control matumizi ya vocha, tumia university promotion ndugu vinginevyo utakula 001 au 101et al.
Chunga sana style yako ya kula sio unakula wali juice na matunda pembeni.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Hiyo ni experience yangu wakati nikipiga miaka yangu hapo JK Nyerere Mlimani Campus.
Daah aisee umempa plan ya ukweli nikikumbuka plan zangu za kitambo mpaka tunafunga malikizo nilikuaga nabaki na hela nyingi tu mpaka zinakutana na za boom la kufungulia chuo daahh kuweka bill cafeteria 1 kilo moja tu kwa jamaa mchaga flani hivi jina nimemsahau...mimi nilikua nanunua mkate maji ya 600 na vocha tu aisee viva UDSM...Beiby..Over..
 
Hemorrhoids lazima ikuhusu,mkate na maji kila siku?
 
jitahidi kupanga matumizi yako kama wadau walivyochangia hapo juu.kumbua elimu ya sasa una we a malizachuo ukasota miaka ya kutosha mtaaani so it better kutake advantage mapemaa
 
Wadau mna ushahuri mzur xana, naamin wengi mmepata mwanga jinsi ya kupiga bajeti ukiwa chuo au vp
 
Km una hulka ya watoto wa kike, tafuta kitaa tu ila usijifanye mkali sana kutembea na wana vyuo. Watadisturb sana burget yako.
 
Epuka sana watoto wa kike ambao ni tegemez.. Bnafs first year simshaur atembee na mwanachuo mwenzake..
 
nyie wenye boom kama mnakula mkate na maji.mm.nisiye na boom.ata kidogo.xndio ntakunywa maji.na ukoka
 
nimekukubali,wengi huwa hawawezi,ndio maana ata kutoboa maisha huwa hawawezi,wanafikiri watakapo pata kazi mambo yatakaa sawa,wakati fedha boom kuna raia ni mshahara na wana watoto,kuna baadhi kwao wako njema ila boom wanaitafuna usiwaige utajuta

We need advice like this one in the society. If possible call me 0768566525
 
Back
Top Bottom