DAN LOBAYA
Member
- Jul 29, 2014
- 85
- 6
. Much respect.braza we nishidaaaa ile nomaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah aisee umempa plan ya ukweli nikikumbuka plan zangu za kitambo mpaka tunafunga malikizo nilikuaga nabaki na hela nyingi tu mpaka zinakutana na za boom la kufungulia chuo daahh kuweka bill cafeteria 1 kilo moja tu kwa jamaa mchaga flani hivi jina nimemsahau...mimi nilikua nanunua mkate maji ya 600 na vocha tu aisee viva UDSM...Beiby..Over..Jibane uwezavyo, kama utakua UDSM nenda pale caf 1 weka bili ya kula hata miezi miwili
Kingine usinunue maji ya kunywa cha msingi tafuta jagi la kuchemshia maji kwa tuliopita pale tunaita ku-google maji,
Usipende matumizi yasiyo na maana kama kula kula, kunywa soda za pale k/koo kila unapojiskia eti umetoka kusoma usiku unaenda kununua soda/juice na keki wakati ulikua umeshakula chakula cha jioni.
Epuka kula vitu vya bei kubwa kwa kufuata mkumbo kisa umeona mwenzio anakunywa supu na chapata pale caf 2 nawewe unajipima ubavu? Thubutuuu!!!
Punguza outing zako sio kila muda uko mwenge, mara mjini, kingine sehemu kama ubungo ikiwa hauna haraka ni vizuri uende kwa miguu maana utafanya mazoezi na utaepusha gharama.
Control matumizi ya vocha, tumia university promotion ndugu vinginevyo utakula 001 au 101et al.
Chunga sana style yako ya kula sio unakula wali juice na matunda pembeni.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Hiyo ni experience yangu wakati nikipiga miaka yangu hapo JK Nyerere Mlimani Campus.
Duh! huyu jamaa wa mkate na maji sijui ulikuwa utaratibu wake miaka yote
Duh! huyu jamaa wa mkate na maji sijui ulikuwa utaratibu wake miaka yote
Wadau mna ushahuri mzur xana, naamin wengi mmepata mwanga jinsi ya kupiga bajeti ukiwa chuo au vp
nimekukubali,wengi huwa hawawezi,ndio maana ata kutoboa maisha huwa hawawezi,wanafikiri watakapo pata kazi mambo yatakaa sawa,wakati fedha boom kuna raia ni mshahara na wana watoto,kuna baadhi kwao wako njema ila boom wanaitafuna usiwaige utajuta