-Chai tumia 600(yaani chai rangi 200,maandazi 2 @200)
-Lunch 1200(Ugali au wali maharage,mchuzi na mboga za majani)
-Dinner 1200 as lunch
-maji 2 @500=1000
-vocha 500
-hutokuwa na gharama ya nauli kwani pale NIT hostel za lupanga zipo karibu sana na chuo yaani mabibo kwa hiyo utatembea tu.
Jumla 4500
7500-4500=3000
Ukiweka 3000 kila siku kwa mwezi utakuwa na sh.90000/=
Hiyo elfu90 ipeleke bank kila mwezi ufungue fixed account ambayo kwa mwaka
Utaweka 720,000/=
Kwa miaka mitatu utaweka 2,160,000/=
Kwa hiyo ukijumlisha riba ya fixed account itafika kwenye million tatu na zaidi.
Sasa baada ya kumaliza chuo wewe unaingia kwenye biashara yamtaji Wa milion tatu au unaenda kwenye kilimo kwa miaka miwili tu hutaitaji kuajiliwa tena.
Usishangae inawezekana sema vijana tunapenda starehe sana hatujui kuwa nmafanikio yanaanza na shida, sisi tunataka tuanze na raha ndipo tupate mafanikio, nikitu ambacho hakiwezekani.
Ndio maana mchaga anaanza na kimeza cha pipi, sigara na biskuti lkn baadae unamkuta ana duka kubwa sana.
Thanks my friend try it.