bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,335
- 404
Habari wakuu nimesikia mjadara sehemu wa sheria ya maadiri inataja vitu vifuatavyo
1, chama cha siasa au mgombea anaweza kusain fom ya maadili muda wowote kabla ya kampeni kuanza
2, uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa vyama vyote ,itahesabika chama kimekubaliana na masharti kikitoa kauri ya kukubali iwe kwa maliziano au kwa kauli hata bila kusaini
Naomba mwenye nayo aiweke hapa tuijadiri