ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Alihojiwa juzi TBC,anataka kurudi kwenye muziki,ila anataka wadau wenye pesa wawekeze Kwake Ili atengeneze mziki.Kuna interview moja niliiona youtube yupo huko kwao mkoani.anauza duka lake yupo anaendesha maisha yake tu hana mpango wa kurejea kwenye game ya music nionavyo mimi.
Nasikia ana duka la Spare za magari Shinyanga.Nasikia yupo mkoani shinyanga Ni msaniii ninayekubali Sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu Naye amsalimie Sana noorah the best artist off all the time natamani hata kusikia moja ya interview zake ila sizipati.salute kwake
Siyo kusikia tu.Nasikia ana duka la Spare za magari Shinyanga.
Nilia ambiwa na jamaa yangu kwenye story zetu ndio maana nikasema nilisikia.Siyo kusikia tu.
Kuna interview YouTube alifanya na Big Chawa akiwa dukani kwake, huko Shinyanga.
Ni duka la vipuri vya magari.
Nasikia yupo mkoani shinyanga Ni msaniii ninayekubali Sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu Naye amsalimie Sana noorah the best artist off all the time natamani hata kusikia moja ya interview zake ila sizipati.salute kwake
si nilisikia anamatatizo kwenye ubongo ndiyo mana akastop na mziki kabisa pia tatizo lake nasilisikia halihitaji kelelekelele ndy mana akaamua kwenda kuishi sheyi kbs
Nasikia ana duka la Spare za magari Shinyanga.
Noorah huyo hapo 👇👇👇Nasikia yupo mkoani shinyanga Ni msaniii ninayekubali Sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu Naye amsalimie Sana noorah the best artist off all the time natamani hata kusikia moja ya interview zake ila sizipati.salute kwake
Alisema wakifika mashabiki kadhaa wakamchangia atarudi...Kuna interview moja niliiona youtube yupo huko kwao mkoani.anauza duka lake yupo anaendesha maisha yake tu hana mpango wa kurejea kwenye game ya music nionavyo mimi.
Dua mkuu ngoja nizame Shinyanga kumtafuta nifanye nae interviewNasikia yupo mkoani shinyanga Ni msaniii ninayekubali Sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu Naye amsalimie Sana noorah the best artist off all the time natamani hata kusikia moja ya interview zake ila sizipati.salute kwake
Kama ukihitaji fleva tofauti na za kijanja, kuna huyu mwamba wetu anayeitwa Don Nalimison ! Yuko 🔥🔥🔥 sana kwa sasa!Nasikia yupo mkoani shinyanga Ni msaniii ninayekubali Sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu Naye amsalimie Sana noorah the best artist off all the time natamani hata kusikia moja ya interview zake ila sizipati.salute kwake
Hahahahhaaa nimecheka had kupaliwa🤣🤣🤣🤣🤣aKama ukihitaji fleva tofauti na za kijanja, kuna huyu mwamba wetu anayeitwa Don Nalimison ! Yuko 🔥🔥🔥 sana kwa sasa!
Ana hitsong yake inaitwa I am a soldier!! Iko njema sana. Jamaa yuko Mwanza kwa akina Wangari Maathai 🥵🥵
Piga kelele kwa Don Nalimison !!!!!!! Woyoooooooo!!!!
Don mtu mbad...Kama ukihitaji fleva tofauti na za kijanja, kuna huyu mwamba wetu anayeitwa Don Nalimison ! Yuko [emoji91][emoji91][emoji91] sana kwa sasa!
Ana hitsong yake inaitwa I am a soldier!! Iko njema sana. Jamaa yuko Mwanza kwa akina Wangari Maathai [emoji3062][emoji3062]
Piga kelele kwa Don Nalimison !!!!!!! Woyoooooooo!!!!