Mwenye namba ya Noorah baba Styles anisaidie

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nasikia yupo mkoani Shinyanga, ni msaniii ninayekubali sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu naye amsalimie sana Noorah the best artist off all the time natamani hata kusikia moja ya interview zake ila sizipati.

Salute kwake
 
Kuna interview moja niliiona youtube yupo huko kwao mkoani.anauza duka lake yupo anaendesha maisha yake tu hana mpango wa kurejea kwenye game ya music nionavyo mimi.
Alihojiwa juzi TBC,anataka kurudi kwenye muziki,ila anataka wadau wenye pesa wawekeze Kwake Ili atengeneze mziki.
 
Nasikia yupo mkoani shinyanga Ni msaniii ninayekubali Sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu Naye amsalimie Sana noorah the best artist off all the time natamani hata kusikia moja ya interview zake ila sizipati.salute kwake
Nasikia ana duka la Spare za magari Shinyanga.
 
si nilisikia anamatatizo kwenye ubongo ndiyo mana akastop na mziki kabisa pia tatizo lake nasilisikia halihitaji kelelekelele ndy mana akaamua kwenda kuishi sheyi kbs
 
Noorah huyo hapo 👇👇👇
 
Dua mkuu ngoja nizame Shinyanga kumtafuta nifanye nae interview
 
Enzi za Ice Cream wakati wimbo wake uko kwenye pick Mdogo wake Ibraa ali wagonga Sana mademu kisa Mdogo wa Noorah
 
Ladha za nda zinakuita njooo
Noorah baba staily hii ngoma ni ya maisha kali kinoma
 
Nasikia yupo mkoani shinyanga Ni msaniii ninayekubali Sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu Naye amsalimie Sana noorah the best artist off all the time natamani hata kusikia moja ya interview zake ila sizipati.salute kwake
Kama ukihitaji fleva tofauti na za kijanja, kuna huyu mwamba wetu anayeitwa Don Nalimison ! Yuko 🔥🔥🔥 sana kwa sasa!

Ana hitsong yake inaitwa I am a soldier!! Iko njema sana. Jamaa yuko Mwanza kwa akina Wangari Maathai 🥵🥵

Piga kelele kwa Don Nalimison !!!!!!! Woyoooooooo!!!!
 
Hahahahhaaa nimecheka had kupaliwa🤣🤣🤣🤣🤣a
!
Piga kelele ake kwa don nalimison weuweeeeee
Piga kwa mara ya 2 weuweeeeeew🤣🤣🤣!
He is the king of raga dadek..wanageita wamebarikiwa
 
Back
Top Bottom