ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nasikia yupo mkoani Shinyanga, ni msaniii ninayekubali sana kazi zake nataka nimpe pongezi tu na kumshukuru japo hata kaposho kidogo nikimtumia sio mbaya ambaye yupo karibu naye amsalimie sana Noorah the best artist off all the time natamani hata kusikia moja ya interview zake ila sizipati.
Salute kwake
Salute kwake