kudadekiiiiiii,,nna ushuhuda mzito sana sina ham na ndoa🙌🏾Jichanganye tuu
Ebuu tulia huko..kudadekiiiiiii,,nna ushuhuda mzito sana sina ham na ndoa🙌🏾
Ko unahis uyu mtoto nilipatia vichochoron sio,,, mbweha wewe,,ndoa kudadekiiiiiiiEbuu tulia huko..
Unaijua ndoa ww
Khaaa kumbe ndoa kabisa daaahKo unahis uyu mtoto nilipatia vichochoron sio,,, mbweha wewe,,ndoa kudadekiiiiiii
Usalama kwa namna ipi ?Nimekuwa nikisikiliza washauri wa masuala ya ndoa Jinsi wanavyoelezea changamoto za na namna ya kukabiliana nazo yaani kama wao wapo sahihi kwenye ndoa zao, badala yake hao motivation speaker ndio vinara wa kuchepuka katika ndoa zao.
Ndio maana nasema kama una ndoa salama jitokeze.
Ndoa ni mkataba wa mahusiano baina ya mwanamme na mwanamke ambao ndiyo hupelekea kutengeneza familia. Ili uingie kwenye mkataba huo wa ndoa ni lazima ujue haki yako juu ya mwenza wako, kwani kuna sababu nyingi zinatokea za kuvunjika kwa mkataba huo wa ndoa na chanzo ni watu kutojua nini haki yake kwa mwenza wake na nini haki ya mwenza wake kwake. Kama binadamu tulivyo hakuna aliyekamilika tofauti za hapa na pale zipo, lakini tusijaalie hizo tofauti ndiyo chanzo cha kuvunja mikataba yetu ya ndoa. Ustahamilivu kwa baadhi yetu haupo, hekima na heshima nazo hazipo ndiyo maana leo tupo kwenye mjadala mfano wa huu.Nimekuwa nikisikiliza washauri wa masuala ya ndoa Jinsi wanavyoelezea changamoto za na namna ya kukabiliana nazo yaani kama wao wapo sahihi kwenye ndoa zao, badala yake hao motivation speaker ndio vinara wa kuchepuka katika ndoa zao.
Ndio maana nasema kama una ndoa salama jitokeze.
Nani kakuambia kuzozona ni sehemu salama ya maisha ya binaadamu, some time ni ku-surender na ku-ignore mambo mengine ila sio kua salama, Ndoa yako ina mda gani mkuu?Ndoa yangu ni salama, occasionally hua tunazozana, but that normal part of human being.
All in all we are good and love each other insanely.
Umekutana na verse za kurapp free style na beat zinatokea mdomoni nn 🤣🤣🤣kudadekiiiiiii,,nna ushuhuda mzito sana sina ham na ndoa🙌🏾
Mkuu omba sana mungu muendelee hivo unaweza kua una timing bomb itapasuka mda wowote miaka 24 sio haba ila bado maisha na binaadamu hubadilika ghafra.Ndoa ni mkataba wa mahusiano baina ya mwanamme na mwanamke ambao ndiyo hupelekea kutengeneza familia. Ili uingie kwenye mkataba huo wa ndoa ni lazima ujue haki yako juu ya mwenza wako, kwani kuna sababu nyingi zinatokea za kuvunjika kwa mkataba huo wa ndoa na chanzo ni watu kutojua nini haki yake kwa mwenza wake na nini haki ya mwenza wake kwake. Kama binadamu tulivyo hakuna aliyekamilika tofauti za hapa na pale zipo, lakini tusijaalie hizo tofauti ndiyo chanzo cha kuvunja mikataba yetu ya ndoa. Ustahamilivu kwa baadhi yetu haupo, hekima na heshima nazo hazipo ndiyo maana leo tupo kwenye mjadala mfano wa huu.
Nashukuru nina mwaka wa 24 sijapatapo kuwa na tatizo katika ndoa, si kwa uhodari wangu bali ni taufiki ya Mungu na mwenza wangu kuwa ameelewa darasa la ndoa na ameridhika na kutosheka kwa kile anachokipata katika maisha yake.
Marriage is not for everybody.Mkuu omba sana mungu muendelee hivo unaweza kua una timing bomb itapasuka mda wowote miaka 24 sio haba ila bado maisha na binaadamu hubadilika ghafra.
aloooh 😂🙌🏾 sina hamu kabsa na huo mziki nmetoka ndukiiiUmekutana na verse za kurapp free style na beat zinatokea mdomoni nn 🤣🤣🤣
ulijua nilibakwa sioKhaaa kumbe ndoa kabisa daaah
Sio Kwa hii mistari🤣Kataa ndoa
Ndoa ni kichaka cha mwanamke kujitajirisha.
Ndoa ni kuuza uhuru wako
Ndoa ni kamari