Hapo shida sio kwamba hana kitu bali sio muwazi hakuwa muwazi tangu mwanzo na hii ipo kote kote uwe na hela au Huna, wanaume wengi wanakuwa sio honest na wa kweli kwenye mambo mengiππ nilisema nimvumilie mwenzangu akiwa hana kitu tuishi tu kwakua mimi nna kijikazi tupambane nayeye apate,, kumbe alikotoka kakimbia familia ππππΎ........ in short wadada wanaume wasio na kitu sio wa kuvumilia
ππ€πΎ