Sema wenye nyumba wengine wana nongwa, mi nyumba niliyokua nakaa kabla sijahamia kwenye kibanda changu mwenye nyumba alinipa week 2 mana nlikua kuna vitu sijamaliza.
Nilimuelekeza kuwa licha ya muda wa kukaa kuisha nahitaji week 2 zaidi kama vipi nimlipe hata nusu kodi ya mwezi, akakataa na kusema nimekaa pale muda mrefu kwa amani hizo week 2 hawezi kunichaji chochote nikae tu kwa amani muda wa kuondoka ukifika nimkabidhi funguo.