Jifanye umempa mtu amtumie, tunga sms afu kosea namba moja.Asubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta.
Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy. View attachment 3462891View attachment 3462892View attachment 3462893
Anapiga simu kufuatilia kwanini sijamtumia bado. View attachment 3462895View attachment 3462896
Jamaa ana COURAGE na COMMITMENT ya hali ya juu sana
HahahahaHahaha, tunga umfowadie sms ya mwamala, kuwa umetuma kwenda namba xxxz kiasi, salio ila kosea namba yake moja.
Copy and paste zile sms za muamala uedit.
HahaHahaha, tunga umfowadie sms ya mwamala, kuwa umetuma kwenda namba xxxz kiasi, salio ila kosea namba yake moja.
Copy and paste zile sms za muamala uedit.
Mtumie namba ya mwenye nyumba ambaye umemtuma ampelekee pesa kwaajili ya Kodi ili kiumaneJifanye umempa mtu amtumie, tunga sms afu kosea namba moja.
HahahaMtumie namba ya mwenye nyumba ambaye umemtuma ampelekee pesa kwaajili ya Kodi ili kiumane
Wewe utakuwa ni ma TP πΉHahaha, tunga umfowadie sms ya mwamala, kuwa umetuma kwenda namba xxxz kiasi, salio ila kosea namba yake moja.
Copy and paste zile sms za muamala uedit.
Katulia anajua anatumiwa pesa kweli πΉπΉ
Daah. Hichi cheo nakikataa. Mimi si mmoja wa watu hawa.Wewe utakuwa ni ma TP πΉ
Mbona unasuka mipango km wahabeshi πΉDaah. Hichi cheo nakikataa. Mimi si mmoja wa watu hawa.
ππππππππAsubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta.
Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy.
Anapiga simu kufuatilia kwanini sijamtumia bado.
Jamaa ana COURAGE na COMMITMENT ya hali ya juu sana
View attachment 3462902
Hahaha, Mleta mada kaamua kujichangamsha nimemuongezea script.Mbona unasuka mipango km wahabeshi πΉ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Atakua kaagiza na konyagi huko kabisa akijua imetiki,leo atadeki hapo pub mpaka patakate.