Nimefanya hivi. Hajanijibu tena. Huyu mchizi amehangaika namimi toka asubuhi. Kuna kipindi nikamwambia wife atakutumia baada ya saa 1. Akawa anapiga kufanya Follow up kapiga simu kama 100. Jamaa wana imani kali sana.Hahaha, tunga umfowadie sms ya mwamala, kuwa umetuma kwenda namba xxxz kiasi, salio ila kosea namba yake moja.
Copy and paste zile sms za muamala uedit.
Sheria ya upangaji unasemaje kuhusu kumtoa mpangaji anaposhindwa kulipa kodiHahaha, tunga umfowadie sms ya mwamala, kuwa umetuma kwenda namba xxxz kiasi, salio ila kosea namba yake moja.
Copy and paste zile sms za muamala uedit.
Hili bwege linajiita chizi lililoshindikana a.k.a mad Max lilinidisi kwenye uzi wa mshahara eti natumia Huawei kumbe lenyewe limepanga na familia yake ya watu kumi chumba cha uani "unaenda uani umeshika kopo la kujitawaza mavi mkononi😁😁😁 JF matajiri wa kufoji ni wengi sana manina
Mkuu walishakuliza nini 🤣
Usikute yupo jf huyu faza hausi
Walimliza rafiki yangu.Mkuu walishakuliza nini 🤣
Rafiki yako ndo wewe mwenyeweWalimliza rafiki yangu.
Mtumie namba ya mwenye nyumba ambaye umemtuma ampelekee pesa kwaajili ya Kodi ili kiumane
Mbwa kala mbwaAsubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta.
Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy.
Anapiga simu kufuatilia kwanini sijamtumia bado.
Jamaa ana COURAGE na COMMITMENT ya hali ya juu sana
View attachment 3462902
😂🤣Kakunja na nne kabisa!!Atakua kaagiza na konyagi huko kabisa akijua imetiki,leo atadeki hapo pub mpaka patakate.
😂😂😂😂😂😂Atakua kaagiza na konyagi huko kabisa akijua imetiki,leo atadeki hapo pub mpaka patakate.