Sasa hivi wameacha kuja na ule mtindo wa ile hela itume kwenye namba hii
😹😹😹 Ila mnanichekesha mnavyowapa moyo..!!
😹😹😹Nimefanya hivi. Hajanijibu tena. Huyu mchizi amehangaika namimi toka asubuhi. Kuna kipindi nikamwambia wife atakutumia baada ya saa 1. Akawa anapiga kufanya Follow up kapiga simu kama 100. Jamaa wana imani kali sana.
Wana Imani😹😹😹 Ila mnanichekesha mnavyowapa moyo..!!
Tatizo la ajira lina athiri sana wananchi🤣🤣
Jamaa wewe ni muuaji kabisa 😆😆😆😆Mtumie namba ya mwenye nyumba ambaye umemtuma ampelekee pesa kwaajili ya Kodi ili kiumane
😂😂😂😂 utakua una matatizo wapigie upate msaadaOna walivo niandama hawa watuView attachment 3464298
Hahahah aiseee😂😂😂😂 utakua una matatizo wapigie upate msaada