Mwenye Nyumba Feki akipambana kunipiga Laki, nami Namu-enjoy

Nimefanya hivi. Hajanijibu tena. Huyu mchizi amehangaika namimi toka asubuhi. Kuna kipindi nikamwambia wife atakutumia baada ya saa 1. Akawa anapiga kufanya Follow up kapiga simu kama 100. Jamaa wana imani kali sana.
😹😹😹
 
Mwamba Landlord kashakula Mandi kwa wa Somali anasubiria muamala kumbe mkuu una mu enjoy. Mwenzio landlord anasafisha vyoo huko halafu ataliwa trakooo na wale wahuni wa kisomali 🀣🀣🀣
 
ninyi ni wastaarabu sana..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…