Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamkia tenda hiyo, tupige hela ya weekendHold on, Madalali watakula wapi?
hapana 😄 kazi za wenyewe hizoChangamkia tenda hiyo, tupige hela ya weekend
Kwa kuwa sio kazi yako.Madalali wanatuumiza
Watakuja wenyewe au mpe kazi Lenie ni mbobevuAta msasani poa tu ila nyumba iwe walau na vyumba viwili
Umeshiba hela eehhapana 😄 kazi za wenyewe hizo
Jitokeze tu mwenye nyumba bila kumshirikisha dalaliHold on, Madalali watakula wapi?
😂😂Umeshiba hela eeh
Hold on ushindwe wewe tu dalali huyu hapa huyu nampeenda 😁Aandae kodi ya mwezi mmoja ya dalali, me niingie mzigoni.
Mkorofi huyoHawatak nisaidia
Kweli akutukanae akuchagulii tusi 😂. Mimi mwenye nyumba?Jitokeze tu mwenye nyumba bila kumshirikisha dalali
Unataka nyumba ya aina gani n bajeti yako sh ngapi.Lenie embu nisaidie rafiki yako hapa kodi inaisha kesho kutwa
🤭 Unamaanisha Nini,haiwezekani?Kweli akutukanae akuchagulii tusi 😂. Mimi mwenye nyumba?