peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali.
Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au na serikali yenyewe.
Pia ni Muhimu kujulikana kwa sifa na uwezo wao kiutendaji na namna wakuu hao wansvyoteuliwa au kuchaguliwa.
Kuna shida kubwa sana za kiutendajindani ya Halmashauri nchini zinazosababisha na wakuu wa idara wabovu au makaimu.
Changieni hoja hii kwa manga ya watanzania