Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Lengo nikujua yajayo. Na hili jambo sidhani kama ni siri.lengo
Noma sana
Sampo kama ipo mkuuMtoa vyeti vya ndoa ni serikali kiongozi .n
Ukiwa Muslim unajaza ya wake wengi..
Mkatoliki wanakujazia wenyewe 🤣
Vyeti vya ndoa sio kwa ajili ya public consumption mkuu ila ukiwa na swali lolote uliza..Sampo kama ipo mkuu
Tunajua kuwa Ndoa ni makataba, so nmeonelea ni vyema kuomba kujua mahudhui ya aina hii ya maktaba.
Itapendeza zaidi kama vikipatikana tofauti tofauti yaani cha
[emoji778] kikristo
[emoji778]kiislamu
[emoji778]kiserikali
Kama vitakuwa vinatofautiana.
Asante.
Nitaweza kwelUnataka ugundue nini, vyeti vina details binafsi... sio rahisi kutumwa hapa.
Nafikiri translate hiyo ya kichina hapo juu!
Hata yakipatikana maudhuhi yake sio mbayaUnataka ugundue nini, vyeti vina details binafsi... sio rahisi kutumwa hapa.
Nafikiri translate hiyo ya kichina hapo juu!
Kikubwa nataka kujua maudhuhi yake tu.Vyeti vya ndoa sio kwa ajili ya public consumption mkuu ila ukiwa na swali lolote uliza..
Shukuruni sana mku, kwa MCHANGO wako uliotukuka.
Kikubwa nataka kujua maudhuhi yake tu.
Sasa nikiwa na correction pen hapa si naoa mwingine namfuta huyo wa mwanzo kama akiniletea mapicha
Sasa nikiwa na correction pen hapa si naoa mwingine namfuta huyo wa mwanzo kama akiniletea mapicha
hahhahahahahaha kmmmmmmmk