heeeeeeeeeeeeeeπ±π±π±π±π±Nenda pale tbc kamuulizie nadhani pale utapata na wasaa wa kuselfie nae kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana. kulia au kushoto?
Ana sauti nzuri akitangaza mpiraJirani yaani unadata na sauti tu???
mwanza kwetu,
Kweli kabisa. anatia "laha ndani ya loho"Sued ni mahiri sana katika eneo la kutangaza
Mwili unalegea nini ukisikia sauti yake?Kweli kabisa. anatia "laha ndani ya loho"
uhuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!
Du!!!!
Laha?? Loho??Kweli kabisa. anatia "laha ndani ya loho"
Bonge la hbDu!!!!
Najua ukimuona kwenye Picha ndo utakufa kabisaHabarini wanaJF.
Nina hamu ya kuona picha ya huyu kaka mtangazaji wa TBC1 ambaye anatangaza mambo ya mpira.
Napenda sauti yake. Nataka nilinganishe sauti yake na yeye mwenyewe.
SUED MWINYI
Ndio, Pia kuna SUA Dodomaπππ
heeeeeeeeeeeeee. hahahahahaahh