Mwenye Picha ya huyu kaka naiomba

Mwenye Picha ya huyu kaka naiomba

Habarini wanaJF.

Nina hamu ya kuona picha ya huyu kaka mtangazaji wa TBC1 ambaye anatangaza mambo ya mpira.
Napenda sauti yake. Nataka nilinganishe sauti yake na yeye mwenyewe.
SUED MWINYI
Taratibu dada,jamaa pia ni DSSD
 
mhusika ni me hapa, njoo pm ili tuonane kabisa ukidhi htaji la moyo wako.
 
Back
Top Bottom