- Thread starter
- #61
Mimi ndio SUED MWINYI njoo inbox
😛😛😛😛😛😛mhusika ni me hapa, njoo pm ili tuonane kabisa ukidhi htaji la moyo wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndio SUED MWINYI njoo inbox
😛😛😛😛😛😛mhusika ni me hapa, njoo pm ili tuonane kabisa ukidhi htaji la moyo wako.
Mmmhhh jirani ila haujanipa mrejesho wa dereva bodaboda[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Ana sauti nzuri akitangaza mpira
Nampenda ila sijamwambia!!!🙄Mmmhhh jirani ila haujanipa mrejesho wa dereva bodaboda[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
mwanza kwetu
mh!! haya weeHabarini wanaJF.
Nina hamu ya kuona picha ya huyu kaka mtangazaji wa TBC1 ambaye anatangaza mambo ya mpira.
Napenda sauti yake. Nataka nilinganishe sauti yake na yeye mwenyewe.
SUED MWINYI
Kulia.Ahsante sana. kulia au kushoto?
Kwa hiyo unataka kuona kama "anatia raha na kwenye mbio za marathon" mkuu?Kweli kabisa. anatia "laha ndani ya loho"
Jikaze umtoe ili umtegenezee mazingira halafu yeye atamalizia maana sisi wanaume huwa hatuchelewi kudaka fursaNampenda ila sijamwambia!!!🙄
Nilivyo na wivu, uwiiiiiii. siwezi ku share hiyo kitu aiseeeNahisi anaweza /anaruhusiwa kuoa wake wanne.
roho sio lohoKweli kabisa. anatia "laha ndani ya loho"
Kbsa jamaa alikua noma michoro kama yooooiteZombie boy. R.I.P
Huyu hapaHabarini wanaJF.
Nina hamu ya kuona picha ya huyu kaka mtangazaji wa TBC1 ambaye anatangaza mambo ya mpira.
Napenda sauti yake. Nataka nilinganishe sauti yake na yeye mwenyewe.
SUED MWINYI