Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha...shuka ya YangaJezi ya Yanga, co Shuka ya Yanga!!.
Kama inavosomeka hapo juu, sijawai kukutana na picha yoyote ya Yusuph Manji akiwa katinga Jezi ya club hiyo, so mwenyenayo naiomba tafadhali.
Umeambiwa ya yanga we unalefa ya chama we vp ww?!
Huyu jamaa hajawai tinga uzi wa yanga,nadhn iman aliyonayo ina mzuia.
Onyesha picha ya florentino perez akiwa na jezi ya real madrid au roman abramovich akiwa na jezi ya chelsea,hlf mimi nitakutumia ya manji akiwa na jezi ya YangaKama inavosomeka hapo juu, sijawai kukutana na picha yoyote ya Yusuph Manji akiwa katinga Jezi ya club hiyo, so mwenyenayo naiomba tafadhali.