Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Angalau rangi zinaendana!Umeambiwa ya yanga we unalefa ya chama we vp ww?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau rangi zinaendana!Umeambiwa ya yanga we unalefa ya chama we vp ww?!
Onyesha picha ya florentino perez akiwa na jezi ya real madrid au roman abramovich akiwa na jezi ya chelsea,hlf mimi nitakutumia ya manji akiwa na jezinya Yanga
Hiyo scarf mkuu,kama kashindwa ya abramovich na jezi ya chelsea,atupie ya bakhresa akiwa na jezi ya azam
Nimecheka saanaaa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo scarf mkuu,kama kashindwa ya abramovich na jezi ya chelsea,atupie ya bakhresa akiwa na jezi ya azam
Hiyo hamuioni?
Jezi ya Yanga, co Shuka ya Yanga!!.
Biashara gani kwa mfano?Jezi huwezi kupata. Labda nguo ya kijani, na hapo panajenga picha kuwa huyu alikuwa kibiashara zaidi.
Sasa hii ni Jezi?
Yanga hawana miezi[emoji15]!
!
Ila miezi ya Yanga khaa! Mibaya mno
Onyesha picha ya florentino perez akiwa na jezi ya real madrid au roman abramovich akiwa na jezi ya chelsea,hlf mimi nitakutumia ya manji akiwa na jezi ya Yanga
Hiyo scarf mkuu,kama kashindwa ya abramovich na jezi ya chelsea,atupie ya bakhresa akiwa na jezi ya azam