kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Manji bado una Hamu na Yanga na ccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Shuka ya Kijani na mistari ya njano.Jezi ya Yanga, co Shuka ya Yanga!!.
Yanga shuka wanayo sema hawaingiagi na shuka uwanjaniNi Shuka ya Kijani na mistari ya njano.
Yanga hawana Shuka.
We nae vipi
Ukipata picha ya Mwalimu Julius Nyerere kavaa kijani na njano naiomba.Kama inavosomeka hapo juu, sijawai kukutana na picha yoyote ya Yusuph Manji akiwa katinga Jezi ya club hiyo, so mwenyenayo naiomba tafadhali.
nilitishika niliposikia ana kipini kwenye moyo, na habinda sing seth ana puto kwenye moyo, hawa wahindi ni wa kuwaombea sana aisee.
na hapo alikua amevalishwa. hakuvaa mwenyeweJezi ya Yanga, co Shuka ya Yanga!!.
hii ni t shirt ya kijani sio jezi.
hii sawa ni jezi ya yanga
Ngoma droo.Onyesha picha ya florentino perez akiwa na jezi ya real madrid au roman abramovich akiwa na jezi ya chelsea,hlf mimi nitakutumia ya manji akiwa na jezi ya Yanga
chama chenyewe wameiga kwa YangaUmeambiwa ya yanga we unalefa ya chama we vp ww?!
Katukopesha nini mkuu?!sasa MO si anawatapeli kwa kuwakopesha aje awamalize