Mwenye picha ya Manji akiwa amevaa Jezi ya Yanga naiomba

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Kama inavosomeka hapo juu, sijawai kukutana na picha yoyote ya Yusuph Manji akiwa katinga Jezi ya club hiyo, so mwenyenayo naiomba tafadhali.
 
Ingia Google andika yusuph manji young africa
 
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] mAshuka ya yanga hutaki
 
Ndala na mlivyofilisika mtajikomba tu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama inavosomeka hapo juu, sijawai kukutana na picha yoyote ya Yusuph Manji akiwa katinga Jezi ya club hiyo, so mwenyenayo naiomba tafadhali.
Onyesha picha ya florentino perez akiwa na jezi ya real madrid au roman abramovich akiwa na jezi ya chelsea,hlf mimi nitakutumia ya manji akiwa na jezi ya Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…