Mwenye picha ya Manji akiwa amevaa Jezi ya Yanga naiomba

Tunahitaji picha ya jezi yenye nembo ya YANGA.Au mkikosa kabisa leteni ya Nyerere akiwa amevaa uzi wa CCM(samahani kwa kuingiza siasa)
 
Jezi huwezi kupata. Labda nguo ya kijani, na hapo panajenga picha kuwa huyu alikuwa kibiashara zaidi.
 
Mwisho utauliza picha ya Lowassa akiwa amevaa gwanda
 
Onyesha picha ya florentino perez akiwa na jezi ya real madrid au roman abramovich akiwa na jezi ya chelsea,hlf mimi nitakutumia ya manji akiwa na jezi ya Yanga

Ahaha kumpenda mke kuonyesha unampenda uwezi kuvaa gauni lake uliowataja wanamiliki izi timu maganikio na uduma inatosha kabs sasa manji alikua anamiliki timu kiuchumi ndo umiliki wake na alikua anauakika atachukua timu kiubwete
 
Hiyo scarf mkuu,kama kashindwa ya abramovich na jezi ya chelsea,atupie ya bakhresa akiwa na jezi ya azam

Hao sio wanachama ni wamiliki wa timu je manji ni mmiliki azam anaweza ingia bila beg nembo wala id co ni mmiliki ila wafanyakaz dress code muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…