Mwenye picha ya Manji akiwa amevaa Jezi ya Yanga naiomba

Wanaovaa jezi ni wachezaji na yeye si mchezaji kwa nini avae hiyo jezi?
 
Kama inavosomeka hapo juu, sijawai kukutana na picha yoyote ya Yusuph Manji akiwa katinga Jezi ya club hiyo, so mwenyenayo naiomba tafadhali.
Ukipata picha ya Mwalimu Julius Nyerere kavaa kijani na njano naiomba.
 
Naona ndara msimu huu ni wenu kwa kusuluhu au msuva kaondoka na tunguli lenu?!
 
Hajawahi vaa jezi ya
Yanga fc.
Hajawahi kuwa na Kadi ya Uanachama wa
Yanga fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…