juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Yule mdogo wake profesa ni 'Simple X'Ndo yule dogo ake profesa jay au nimechanganya madesa
Umechanganya madesa mkuu, yule ni Simple X aka Mzee wa ngano.Ndo yule dogo ake profesa jay au nimechanganya madesa
Umechanganya madesa mkuu, yule ni Simple X aka Mzee wa ngano.
Ni simple X mzee wa nganoUmechanganya madesa mkuu, yule ni Simple X aka Mzee wa ngano.
Ndo yule dogo ake profesa jay au nimechanganya madesa
Huyo anaitwa black ryhinoNdo yule dogo ake profesa jay au nimechanganya madesa
Umemchanganya yule anaitwa black rhinoNdo yule dogo ake profesa jay au nimechanganya madesa
Huyo Simple X alieimba Pamoja na Jey kwenye piga makofi ndio mdogo wake.?Yule mdogo wake profesa ni 'Simple X'
Umamkumbuka kwenye ngoma kama 'hakuna noma' ya Prof. Ft Inspekta Haroun na Simple X..
Sijaitaja piga makofi mkuu. Nimeitaja 'hakuna noma'Huyo Simple X alieimba Pamoja na Jey kwenye piga makofi ndio mdogo wake.?
Sidhani.!
Sijaitaja piga makofi mkuu. Nimeitaja 'hakuna noma'
Sidhani kama kuna beat iliyowahi kuvuma kama hiyo yaKama kichwa kinavojieleza,huyo msanii namkubali sana,ni msanii wa hip hop hapa bongo na ana ladha na uandishi wa kipeke yake,ana mashairi ambayo huwezi kukalili kamwe,sanasana utaambulia vimistari vinne vitano.ana Rap ya kipeke yake haifanani na rap ya msanii wa aina yeyote yule duniani.ana sauti flani hivi ya kuchana ambayo inaleta ladha,aliwahi kuwika na ngoma kama mtoto wa mjini,nini mnataka,ninapokuja Dar,tabasamu,nisikilize,pig black,n.k.ila tatizo siijui sura yake kabisa na natamani sana kuijua sura yake na hata jina lake mitandao ya kijamii..naomba mwenye sura yake aitupie hapa