Mwenye picha ya msanii Pig Black/P1 black

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Kama kichwa kinavojieleza,huyo msanii namkubali sana,ni msanii wa hip hop hapa bongo na ana ladha na uandishi wa kipeke yake,ana mashairi ambayo huwezi kukalili kamwe,sanasana utaambulia vimistari vinne vitano.ana Rap ya kipeke yake haifanani na rap ya msanii wa aina yeyote yule duniani.ana sauti flani hivi ya kuchana ambayo inaleta ladha,aliwahi kuwika na ngoma kama mtoto wa mjini,nini mnataka,ninapokuja Dar,tabasamu,nisikilize,pig black,n.k.ila tatizo siijui sura yake kabisa na natamani sana kuijua sura yake na hata jina lake mitandao ya kijamii..naomba mwenye sura yake aitupie hapa
 
Yule mdogo wake profesa ni 'Simple X'
Umamkumbuka kwenye ngoma kama 'hakuna noma' ya Prof. Ft Inspekta Haroun na Simple X..
Huyo Simple X alieimba Pamoja na Jey kwenye piga makofi ndio mdogo wake.?

Sidhani.!
 
Kama kichwa kinavojieleza,huyo msanii namkubali sana,ni msanii wa hip hop hapa bongo na ana ladha na uandishi wa kipeke yake,ana mashairi ambayo huwezi kukalili kamwe,sanasana utaambulia vimistari vinne vitano.ana Rap ya kipeke yake haifanani na rap ya msanii wa aina yeyote yule duniani.ana sauti flani hivi ya kuchana ambayo inaleta ladha,aliwahi kuwika na ngoma kama mtoto wa mjini,nini mnataka,ninapokuja Dar,tabasamu,nisikilize,pig black,n.k.ila tatizo siijui sura yake kabisa na natamani sana kuijua sura yake na hata jina lake mitandao ya kijamii..naomba mwenye sura yake aitupie hapa
Sidhani kama kuna beat iliyowahi kuvuma kama hiyo ya

"Nini mnataka"
 
Back
Top Bottom