geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
Nani huyo.
Umechanganya madesa mdogo wa mh. ni faru mweusiNdo yule dogo ake profesa jay au nimechanganya madesa
Inavosemekana p funk ile hitsong hakuchukua hata mia alimrekodia free sababu hata mwenyew alimkubal mshkaj.lile beat mi huwa linanimaliza,kile kipindi cha sauda mwilima alikua analitumia kipindi kikianza na kwisha nilikua nawahi niliskii,P funk mikino yake balaa.
HapanaHuyo Simple X alieimba Pamoja na Jey kwenye piga makofi ndio mdogo wake.?
Sidhani.!
YumoKwani Simple X hayupo kwenye hizo ngoma zote 2 mkuu...?
Nilikua nimejinunia ila hapa mpaka watu wamenishangaa kwa kucheka kuna watu machizi sana
Asante mkuu
Huyo hapo P1 black..unaweza msikiliza SoundCloud
Hapo sasa nimekupata mkuuKWA KUONA PICHA ZAKE ZAIDI TEMBELEA FACEBOOK ANAJIITA Black Nation nimekupa picha yake moja hapa
Nnao mkuu ila jinsi ya kutupia ni jangaNimetafuta wimbo wake wa, Nini mnataka mazee, sijaupata kama unao tupia hapa mkuuu!
Sijui ka kwamia wapi huyu mtu ni watofaut yaniPig black ngoma yake ile ilikuwa hataree ..enzi zile pig black nini mnataka mazee na fid.q huyu na yule
Zilikuwa zikipigwa nasitisha kazi zangu kwa muda
Squeezer nae dah rapa yake naukubali sanaVipi beat ya Naja- Squeezer ft Nature
Ndo faru john, mistari yake valuableUmemchanganya yule anaitwa black rhino
Sawa namsalim sana Kavel.kuna jamaa anaitwa kavel alifungua thread kuhusu Nash mc akawa anasema kuna Dada anapenda hip hop nawish angekuaepo hapa....ila tatizo alikusahau jina niliona avatar tuu nikakumbuka ndio ww