Mwenye picha ya msanii Pig Black/P1 black

Mwenye picha ya msanii Pig Black/P1 black

PIG BLACK-Nini mnataka mazee?
pig black.jpg
 
Nini mnataka mazeee hapa shwari.....
 
a8c54a8b91ca17da8da581a5e8222d80.jpg


Huyo hapo P1 black..unaweza msikiliza SoundCloud
 
Pig black ngoma yake ile ilikuwa hataree ..enzi zile pig black nini mnataka mazee na fid.q huyu na yule

Zilikuwa zikipigwa nasitisha kazi zangu kwa muda
Sijui ka kwamia wapi huyu mtu ni watofaut yani
 
kuna jamaa anaitwa kavel alifungua thread kuhusu Nash mc akawa anasema kuna Dada anapenda hip hop nawish angekuaepo hapa....ila tatizo alikusahau jina niliona avatar tuu nikakumbuka ndio ww
Sawa namsalim sana Kavel.
 
Back
Top Bottom