The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Mwenye picha ya ghorofa aka hekalu linalogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee
Ova.
Ova.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutaka kujua chanzo cha wenzetu kufarakana ni chuki ?!!Maskini tumejaa chuki. Hata Kama hatunufaiki chochote
Haa ha mkuu hapa nadhani umetupeleka chakaView attachment 2148848
Bado finishing tu
Hili mbn lizuri Tu hapo ukiliosha linakua kama la DubaiView attachment 2148848
Bado finishing tu
Yan hapo konda alipiga finishing safi kabisa na ina natural cooling systemHili mbn lizuri Tu hapo ukiliosha linakua kama la Dubai
Ni hapahapa Bongoland au ni Dahomey?View attachment 2148848
Bado finishing tu
Nahisi hii itakuwa mali maana ndio wenye tabia ya kujenga hiviNi hapahapa Bongoland au ni Dahomey?
Poo Makonda ana hoofa ingine MwanzaMwenye picha ya ghorofa aka hekalu linalogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee
Ova.
Lingine liko MasakiPoo Makonda ana hoofa ingine Mwanza
😀😀Nasikia limeungua ghafla! 😁
Regent estate ipo kando ya bahari? Hujawahi kufika DarNimesikia liko kando ya bahari, ukikaa summit upepo wa bahari unakuliwaza na unasahau shida za dunia hii.
Regent Esteti ni kando ya bahari?Nimesikia liko kando ya bahari, ukikaa summit upepo wa bahari unakuliwaza na unasahau shida za dunia hii.