Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Baby nina ubavu wa kufunga ndoa na hawezi kuzuia ila kuwapa nafasi wotoe hoja imekuwa kosa wanatoa viroja. Huyu mwanamke nilisha muacha na anajulikana ni mke wa Chimbuvu!

Usijali tutafika maana hawaniwezi!
dear na ww ilikuaje ukamuoa MADAME B?yani ni king'ang'anizi kama nn,wanaume wote hao hawamtoshi bado anakutaka na ww,tufungie ndoa kwenye ndege kuepuka usumbufu
 
Last edited by a moderator:
Baby nina ubavu wa kufunga ndoa na hawezi kuzuia ila kuwapa nafasi wotoe hoja imekuwa kosa wanatoa viroja. Huyu mwanamke nilisha muacha na anajulikana ni mke wa Chimbuvu!

Usijali tutafika maana hawaniwezi!
hahaa!najua hizo ni kelele za chura,pia kilio cha samaki tu,tarumbeta muhimu RUTTA wangu!
 
waambie baba wakuelewe,Voice of wisdom atakua kapewa kitu kidogo lazima,kazi kula rushwa tu muone kwanza,sikaguliwi ng'ooooo!
 
Mbona keshakosa mume! Huyu passion lady hawezi kuolewa hadi nimkague! Ruttashobolwa anamdanganya ili akishamchezea arudi zake kwa Madame B!

hanichezei,mahari ishatolewa,ngombe wa kutosha washapelekwa kwetu,mama mkwe ananipenda,mawifi ndio usipime,Filipo na voice of wisdom nisijekuwaona kanisani wala ukumbini maana bibi harusi nitaanzisha timbwili bure,nyie mtamsaidia Madame B kuomboleza wakati hana msiba!
 
kwa taarifa yako Asprin hajashindwa kazi. Wakukaguliwa wamekuwa wengi ndio maana ame'deligate' kazi yake kwangu. Na huyu aliyesema anakupenda lazima nimkague!
Umenena vema kijana. Kuna mabinti watatu ntakuPM unisaidie kuwakagua. tatizo siyo ukaguzi, tatizo ni foleni.Give us a break Ladiezzzz!!
 
Naona mmejipanga kupotosha kabisa hakuna ndoa kati yangu na madame b narudia tena!

Ndoa ilivunjwa na nisingeweza kutangaza nia bila kumuacha!

Weka huo ushahidi!

Baba V
9th November 2012 10:14
#23
Banned Array


Join Date : 29th December 2010
Location : Buguruni Mnyamani
Posts : 8,099
Rep Power : 0
Likes Received3197
Likes Given1614


[h=2]
[/h]
By Chilli

Nishapata mchumba anaitwa Madame B unaonaje ukifanya utaratibu wa usajili?!





Navyomjua mimi huyo ni mke tena wa ndoa kabisa wa mwanasheria mmoja wa kihaya kwa jina la Ruttashobolwa na sijawahi pata taarifa ya kuachana kwao, ngoja niipeleke kwenye kamati ya screening ili Mamndenyi afanye kazi yake​
 
nafikiria, maana hata mlalamikaji amegoma kufika mahakamani, nafikiria kuifunga, ila pia natafuta kesi nyingine ya kuwafungulia mlalamikaji na walalmikiwa wote, haiwezekani kuiochezea mahakama.
halafu umempa nini Rutta hadi amekuwa kimya hivyo?
 
Your off date my dear nenda kasome uzi nimeupandishwa kuhusu kutenguliwa kwa ndoa yangu na madame b!

Go.....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…