Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Ukiona mlalamika kakosa kuja mahakamani ujue amekubali kushindwa!

nafikiria, maana hata mlalamikaji amegoma kufika mahakamani, nafikiria kuifunga, ila pia natafuta kesi nyingine ya kuwafungulia mlalamikaji na walalmikiwa wote, haiwezekani kuiochezea mahakama.
halafu umempa nini Rutta hadi amekuwa kimya hivyo?
 
Twende taratibu na uoneshe kipengele nilicho pindisha maana me najua hakuna unapo tambulika kama mkaguzi, nakupa haki yako kukwambia ukweli!

You won't touch my passion lady!

Ni aibu mwanasheria kuvunja sheria! Na nitahakikisha utaratibu unafuatwa!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Bora umsubiri Baba V muandike sheria mpya za ukaguzi na wewe uteuliwe tena na wana cc lakini hizo hazito mhusu passion lady!

Lakini mbona unang'ang'ania kukagua wakati huna mamlaka.
, hivi umechoka kuishi?
Sema namuonea huruma shem marejesho!

Ubishi wako hautakusaidia chochote! Inamaana hata Asprin hukumsikia au ni kiburi! Nimesema piga ua lazima nimkague passion lady, lasivyo hakuna ndoa!

Copy: Baba V, Asprin
 
Last edited by a moderator:

duh hayo mashati ya chuichui yamenikumbusha enzi za mashati ya eagle au juliana yalivyokuja na virusi toka uganda enzi hizo ndio HIV imeingia! duh imenikumbusha mbaaali sana
 
Bora umsubiri Baba V muandike sheria mpya za ukaguzi na wewe uteuliwe tena na wana cc lakini hizo hazito mhusu passion lady!

Lakini mbona unang'ang'ania kukagua wakati huna mamlaka.
, hivi umechoka kuishi?
Sema namuonea huruma shem marejesho!

Usinifundishe uoga Mkuu! Hana kibali cha mimi kuishi wala wewe si Iziraeli mtoa roho! Nasisitiza lazima nimkague passion lady la sivyo humuoi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…