Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Dah..kila la heri,ila jaribu kucheki na afya zenu kabla ya kunanii!!!!Au kama unaogopa kupima basi nunua ARV kabisa,ili ikitokea maroroso,basi uanze kujitibia....hahahahaa MziziMkavu njoo huku
 
Last edited by a moderator:
nahisi kuna mtu ana id 50. the same lady in every name.
 
miss u 2 my RUTTASHOBOLWA!kweli anastres labda kwa kua marejesho yupo vile anatafuta kipoozeo mpaka shemejio ashushe engine!

Wife wangu marejesho hana tatizo lolote na anamlea mwanetu vema! Swala la ukaguzi lipo kwa mujibu wa taratibu na hata Ruttashobolwa anafahamu. Na lazima nikukague kabla ya kuolewa. Otherwise huolewi!
 
Last edited by a moderator:
miss u 2 my RUTTASHOBOLWA!kweli anastres labda kwa kua marejesho yupo vile anatafuta kipoozeo mpaka shemejio ashushe engine!
hii ndoa sijui iliishia wapi
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!


mkuu ilikuwa kweli au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…