Kwamba washindwe kulipa akiwepo Magu, ila under ssh wamelipa deni lote😃 johnthebaptist😆😆😆😆 Unaambiwa Mbwa ukimjua jina hakung'ati
Mbona kuna taarifa katoa Sheikh Mwinyi kuwa washalipia lote?Deni lote lilifutwa na umeme kushushwa bei unit moja ni bei ndogo kuliko bara
Walifutiwa deni lote sio kwamba walilipa , hata Mia hawakulipaMbona kuna taarifa katoa Sheikh Mwinyi kuwa washalipia lote?
Jana nimesoma taarifa kuwa wamelipa deni lote!Walifutiwa deni lote sio kwamba walilipa , hata Mia hawakulipa
Hana UWEZO huo kukataa,January makamba alikataa kuidhinisha pesa ya tanesco kujenga miundombinu ya umeme upande wa Zanzibar ndio akaliwa kichwa, kwenye Hilo marope alisimama vyema
Kuamini ndio kuomba risiti kama tu kutunza record.huamini uchumi wa buluu na serikali ya chama cha mapinduzi
Watu mnasahau hili deni lilifutwa 400B.....Salamaleko!
Tumeambiwa kuwa mmelipa deni lote mlokua mkidaiwa na muungano.
Tafadhali,tuonyesheni risiti za malipo hayo tafadhali 🙏
Nawasilisha!
Shein akiwa airport pale, akiwa na habari za kudaiwa umeme na Jiwe, akang'aka, '.....tutawasha vibatari...', na ilikuwa pesa ndogo, bilioni 10!Kuamini ndio kuomba risiti kama tu kutunza record.
Hakuna walicho lipa hata senti moja tumewalipia watanganyikaSalamaleko!
Tumeambiwa kuwa mmelipa deni lote mlokua mkidaiwa na muungano.
Tunaomba tuonyesheni risiti za malipo hayo tafadhali 🙏
Nawasilisha!
Sasa kwanini wasiseme wamefutiwa deni,Watu mnasahau hili deni lilifutwa 400B.....
Magufuli alitaka Umeme ukatwe Shain akasema watatumia vibatari so Rais Samia aliweka mzania sawa.