Mwenye risiti za SMZ kulipia bili yote ya umeme waliyokuwa wakidaiwa, ailete hapa tafadhali🙏

Mwenye risiti za SMZ kulipia bili yote ya umeme waliyokuwa wakidaiwa, ailete hapa tafadhali🙏

Mikopo ilikua zenj anapata robo now ni nusu kwa nusu na mlipaji wa mikopo ni Tanganyika , hapo ndio ndugai alisema mgawanyo WA pesa uendane na idadi ya watu Jimbo la Zanzibar la watu 5000, wanapewa sawa na Jimbo la watu laki mbili issue zake zilianzia hapo
Mkuu Mungu akubariki sana kwa haya unayotufunulia ambayo Chawa walificha
 
Shein akiwa airport pale, akiwa na habari za kudaiwa umeme na Jiwe, akang'aka, '.....tutawasha vibatari...', na ilikuwa pesa ndogo, bilioni 10!
Leo Rais mzanzibari, eti ghafula purchasing power yao imekua na wanalipa madeni kwa haraka!
 
Zanzibar uchumi unapaa Sasa, nyie kalieni majungu tu.
Uchumi wa bluu unaineemesha Zanzibar. Wawejezaji wa ndani na nje wamepanga msururu kuwakilisha miradi yao.
 
Sasa kwanini wasiseme wamefutiwa deni,

Wao wametoa taarifa kuwa wamelipa deni.

Na mamlaka ya kufuta deni wamewauliza watannganyika wakaridhia?

Waseme ukweli wafe kabla ya wakati. Nchi yetu na ukweli ni kama kifo na uhai
 
Zanzibar uchumi unapaa Sasa, nyie kalieni majungu tu.
Uchumi wa bluu unaineemesha Zanzibar. Wawejezaji wa ndani na nje wamepanga msururu kuwakilisha miradi yao.
Nimeona tu risiti ya malipo ya bili ya umeme.

Kuhusu uchumi wa bluu kupaa, Wacha upae na kupaishwa!
 
Back
Top Bottom