Mwenye season na movie hizi, aje tufanye biashara

Mwenye season na movie hizi, aje tufanye biashara

images (26).jpeg
 
images (34).jpeg


ENTERGALACTIC (ANIMATION)

Bilal baada ya kupata kazi kwenye kamouni ya comic anapanga kwenye Apartment ya ndoto yake katikatia ya Manahattan akiwa yupo single baada ya kuachana na Ex wake

Anakuja kutana na jurani yake ambaye Manzi mkali na kuanza mahusiano.....wanakuja pitia changamoto kubwa baadae

_______________
Hi ninayo na ninazo movie zaidi ya 200 nakuwekea kwa 7000 tu hii Weekend
 
images (31).jpeg


Humu zinapigwa risasi nyingi sana zaidi ya 100000,0000,000

Unaujua mziki wa waarabu wakitubuliwa na wazungu
 
images (30).jpeg


Movie Bora ya kijeshi ya muda wote

_______________
Hi ninayo na ninazo movie zaidi ya 200 nakuwekea kwa 7000 tu hii Weekend
 
images (33).jpeg


Wanajeshi wanapewa mission ya kwenda kuangamiza kambi zipatazo sita ambazo zinadhaniwa kuwa zinaweza kuwa kitovubcha ugaidi utakaokwenda kuathiri USA inabidi watumie farasi kufika katika kambi hizo majangwani hili kuribua mabomu makubwa
 
images (28).jpeg


TERRIFIER CHAPTER 2

Killer Clown 🤡 🤡: hawa ni aina ya watu wanaovaa vinyago kwaajiri ya kuchekesha au kufurahisha, hutumiwa kufurahisha watoto, sherehe na events Sasa hawa clown ikatokea visa kadhaa vya mauji yakihusisha watu hawa wanaovaa Clown ndio ikapelekea kutengeneza movie nyingi zinazohusu Killer Clown Kama Joker, Pennywise (IT) nk

Terryfier ni clown anayefanya mauji ya kutisha kipindi cha Halloween na hafi kirahisi

Hizi zinaitwa Slusher Movie, zinahusisha mtu kukatwakatwa, utumbo nje, ubongo, mifupa damu kitu Cha kawaida
 
images (25).jpeg

_______________
Hi ninayo na ninazo movie zaidi ya 200 nakuwekea kwa 7000 tu hii Weekend
 
Na sisi wenye movie kwenye simu tufanyeje tukutumie maana ninazo mpya kama nne nikipata ata buku tano sio mbaya
 
Mwaka 2015 tuliunda group la series what's, na tulikutana humu humu, tulifanya kazi ya kubadilishana movie na series kwa kuonana ana kwa ana
 
Kitambo Sana, kwa Sasa nina series zaidi ya 60.

Niki lala niki amka ni kushusha mzigo, anaye taka aseme free free.
 
Back
Top Bottom