Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa na weweAah, sasa kwani hajui kuvua saa?
Mkuu,Yaani haya mambo ni matangazo ya biashara tu. Mtu uende kuhondomola usiku saa nane uende na masaa mikononi ya nini, na unajua umeli sync Lisaa lako na la wife.
KisukumaMkuu,
Kuhondomola ni Kisukuma au lugha gani hiyo?
Duh kumbe ndiyo calories nyingi zinaenda hivyo,.!Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 [emoji2][emoji23]!.
View attachment 2889125
Nilijua tu.Kisukuma
Kuhondomola Yaan ni kufaidi kitamu sanaNilijua tu.
Yani wenzetu wanachanganyia Kiingereza, sisi tunachanganyia Kisukuma
Halafu Msukuma anakuchanganyia Kisukuma kwenye Kiswahili kama vile kila mtu anatakiwa kukijua.
Usipokijua shauri yako ๐คฃ๐คฃ
Nahenee mayo, gashi ole wa kaya getee?Kuhondomola Yaan ni kufaidi kitamu sana
๐๐ ndoho taabu bhabhaNahenee mayo, gashi ole wa kaya getee?
Wabeja nhoo, nalelondomola mandege chiza gete henaha.
Tena hao itaonekana kana kwamba mtu alikuwa anafukuzwa na mwizi ni hatari na robo ila unategemeana na muda unaotumia kuchukua sheria, either uko home au danger time!.Duh kumbe ndiyo calories nyingi zinaenda hivyo,.!
Sasa wale wazee wa kujichukulia sheria mkononi si ndiyo watakuwa wana burn nyingi zaidi ya calories elfu kumi sasa basi haina haja ya mazoezi.
Hii nayo inachekesha sana.Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 ๐๐!.
View attachment 2889125
Aah, sasa kwani hajui kuvua saa?
Na inachekesha kweli mkuu!.Hii nayo inachekesha sana.
Mimi ningemgomea na kumwambia hiyo saa-janja imepatwa na virusi.Nakataa huku nimemtolea macho tu.Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 ๐๐!.
View attachment 2889125
๐๐๐Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 ๐๐!.
View attachment 2889125