Mwenye Smart Watch hii Inakuhusu usije tuletea andiko Humu JF Kama Ushuhuda

Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 [emoji2][emoji23]!.

View attachment 2889125
Duh kumbe ndiyo calories nyingi zinaenda hivyo,.!
Sasa wale wazee wa kujichukulia sheria mkononi si ndiyo watakuwa wana burn nyingi zaidi ya calories elfu kumi sasa basi haina haja ya mazoezi.
 
***** technolojia imekua watu hawatambui. Huku mzagamuano umekolea kule mwenzako anaanguka kwa pressure na wakati we uko una burn calories
 
Duh kumbe ndiyo calories nyingi zinaenda hivyo,.!
Sasa wale wazee wa kujichukulia sheria mkononi si ndiyo watakuwa wana burn nyingi zaidi ya calories elfu kumi sasa basi haina haja ya mazoezi.
Tena hao itaonekana kana kwamba mtu alikuwa anafukuzwa na mwizi ni hatari na robo ila unategemeana na muda unaotumia kuchukua sheria, either uko home au danger time!.
 
Unavura na viratu, unadhani utarara hapahapa?... Alisikika Koku akimwambia Mteja.
Waweza ulizwa pia kwenye saa...πŸ˜‚πŸ˜‚
Aah, sasa kwani hajui kuvua saa?
 
Hii nayo inachekesha sana.
Na inachekesha kweli mkuu!.

Hapo kabla nilikaa dakika kadhaa kujiuliza why this?.

Ndipo nikapata kuelewa kumbe now days haihitaji security kubwa sana kutafuta mchawi ila ni kununua smart watch tu na kuzigawa πŸ˜ƒπŸ˜‚!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…