Mwenye swala lolote kuhusu Technology ya AI

Mwenye swala lolote kuhusu Technology ya AI

Moja kati ya kitu kilicho nivutia zaidi kwa upande wangu ni "Alignment Problem"

Tuliite "Tatizo la Mlinganisho" (Sijui kama kiswahili chake kipo, hivyo nabuni tu, kwasababu waswahili wenyewe ndo sisi)

Na jawabu lake kwenye Akili Bandia, haswa upande wa Large Language Models (LLM) kwa lugha yetu, tuiite Mifumo Mikubwa ya Lugha (MML)
(Baadhi, mfano Wikipedia, wameuita Mitindo mikubwa ya lugha, ila hii sio tafsiri sahihi ukizingitia maana ya neno Model kwenye LLM)

Tatizo la Mlinganisho, ni utofauti uliopo kati ya lengo la mtumiaji wa MML na Lengo kuu (Objective Function) la MML.

Lengo kuu la MML kama ChatGPT, Bing Chat au Bard ni "next token prediction"

kimsingi, kazi ya MML "ni kutabiri neno lenye uwezekano mkubwa wa kufatia mbele ya neno au maneno kadhaa yaliyopita

Mf.

Baba na ____

"mama" na "mtoto" ni maneno yenye nafasi kubwa ya kuwa mbele ya "Baba" na "na" kwenye lugha ya kiswahili kuliko "bahari" na "mapigano" kwa mfano

Hivyo MML kazi yake ni kukokotoa neno ambalo, kitakwimu hufuata mara nyingi zaidi baada ya neno fulani kwa kuzingatia muktadha (context) ya maneno yaliyopita.

Mtumiaji ana shauku ya kuvuna taarifa kutoka kwenye MML, lakini lengo kuu la MML ni kukamilisha sentensi tu.

Mf, hii ni jibu sahihi kulingana na Lengo kuu la MML

Mtumiaji : Rais wa Tanzania ni

MML: Moja kati ya nchi zinazounda umoja wa Afrika Mashariki.

Lengo la mtumiaji ni kujua rais wa Tanzania ni nani, lakini MML ilichofanya ni kukamilisha hio sentensi kwa kuzingatia Mwongozo (Prompt) na jibu lake ni muendelezo (completion) wenye uwezekano mzuri wa kutokea kulingana na lugha ya kiswahili. Unaingia akilini.

Utaona hapo kuwa, ni wazi MML haina "uelewa" wa mwongozo (nini mtumiaji anataka) kama sisi binadamu tunavyoelewa.

Sasa tunawezaje kuifanya MML ijibu hivi

Mtumiaji: Rais wa Tanzania ni

MML: Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan

Ndipo inapokuja Reinforcement learning from Human Feedback (RLFH) ambayo kwangu mimi ni moja kati ya very interesting solution kwenye field ya AI baada ya Back propagation Algorithm
 
Unaweza kunisaidia free AI chat apk hapo..
Nimetumia AI mwezi wa 4 sasa. Tangu mwanzo nilivyoijaribu Gpt3.5 ilishindwa kunipa 3d drawings mfano moyo.
Mfano nikitaka kuchora points za xyz kwenye plane chat ikashindwa. Moyo alinichorea kwa kutumia character hii ---. Nilidhani labda gpt3 hana uwezo wa visualize 3D drawing.
Je ni mimi ndie sijaelewa kumuamrisha AI ?
Sijajaribu kwa bard.ila AI inaweza kukufunza haraja computer programmming japo haina uwezo wa kukupa code 300 lines. Inakupa vi snipet vidogo vidogo.
Jamba linge AI hawezi kuzama kwenye complex equations.
Mfano niliitaka ifanye ku prove schrodinger equation.
Akaleta maluwe luwe yasio eleweka.
AI ni mzuri kwenye maelezo sio equations. Labda kama kuna mtu kaweza kumletea ipasavyo atushitikishe.
 
Nimetumia AI mwezi wa 4 sasa. Tangu mwanzo nilivyoijaribu Gpt3.5 ilishindwa kunipa 3d drawings mfano moyo
ChatGTP 3.* ni special kwa ajili ya text generation. Ulitegemeaje ikuchoree picha?
Mfano nikitaka kuchora points za xyz kwenye plane chat kashindwa. Moyo alinichorea kwa kutumia character hii ---. Nilidhani labda gpt3 hana uwezo wa visualize 3D drawing.
Je ni mimi ndie sijaelewa kumuamrisga AI ?
Sijajaribu kwa bard.ila AI inaweza kukufunza haraja computer programmming hspo haiba uwezo wa kukupa code 300 lines. Inakuoa vi snipet vidogo vidogo.
Aise lines 300??, uliona wapi hii ndio limit?. Mfano ukitumia generative AI iki command lbd itengeneze programmming labla kwa C++ inauwezo kwa kuandaa hadi line 1000 na kuendelea
Jamba linge AU hawezi kuzama complex equations.
Eti complex equations. Sasa inaama gani kuitwa AI
Mfano niliitaka ifanye ku prove schrodinger equation.
Hata AGI au ASI achana na hizi generative AI za pytorch. Schrödinger sio rahisi kua proven (hata schrödinger wenyewe alishidwa, hii ni theory sio principle) Generative AI zinatumia dataset hazina wezo wa kufanya kazi nje ya hizo dataset. Kama kwenye datasets hamna data inayoonyesha Schrödinger ipo proven usitegemee itaweza ku prove chochote
Akaleta maluwe luwe yasio eleweka.
AI ni mzuri kwenye maelezo sio equations.
Upo empty kwenye AI
 
ChatGTP 3.* ni special kwa ajili ya text generation. Ulitegemeaje ikuchoree picha?

Aise lines 300??, uliona wapi hii ndio limit?. Mfano ukitumia generative AI iki command lbd itengeneze programmming labla kwa C++ inauwezo kwa kuandaa hadi line 1000 na kuendelea
Eti complex equations. Sasa inaama gani kuitwa AI

Hata AGI au ASI achana na hizi generative AI za pytorch. Schrödinger sio rahisi kua proven (hata schrödinger wenyewe alishidwa, hii ni theory sio principle) Generative AI zinatumia dataset hazina wezo wa kufanya kazi nje ya hizo dataset. Kama kwenye datasets hamna data inayoonyesha Schrödinger ipo proven usitegemee itaweza ku prove chochote

Upo empty kwenye AI
Line 300 za codes ni nyingi!
Schrodinger equatoon haina prove ? Umesoma wapi ? Unapingaje vitu ambavyo vipo wazi.
AI inathibitisha yenyewe kuwa imekuwa train with a loat of data, unapos4ma text tu nashi dwa kukuelewa basi ingeitwa akili ya text.
AI ina express eguations vizuri tu.
N8meenda ku screenshot ili kuonyesha ulivyo muongo.
az_recorder_20231201_164451.jpg

Computer doesn't know text but characters. Mathematical symbols are characters and can be understood by any machine. AI as part of machine can understand make expressions, idiom,theorems laws etc.
Niliteutegemea utaleta kitu cha kuwezesha watu kuelewa hapa kumbe wewe mwenyewe huelewi. Kama hujui ungesema tu sijui sio kusema eti AI blabla kibao.
 
Msitumie lugha mbaya nikiwa mtu anaonekana hana ufahamu mzuri kuhusu AI tumieni lugha zisizotweza utu, fafanua jambo vizuri sio inamaliza kwa kusema wewe hujui hajui ni I hata hicho alichosema ndicho anachojua fafanua kwa kukosoa kwa lugha nzuri.

Wengi humu nataka umwamba hahaha, ngoja nami none vichwa hapa kwenye AI
 
Line 300 za codes ni nyingi!
Schrodinger equatoon haina prove ?
Aise kama umefika chuo, aliekua analipa ada hapa amepoteza bora angefunga ng'ombe. Kwa hivyo mkuu siku hizi electron zipo constantly kwenye specific position???.

Ukiweza ku prove schrodinger eqn ina maana unajua atom ipo kwenye state gani. Schrödinger cat akiwa kwenye box ina state kwamba cat yupo hai, na amekufa kwa wakati mmoja.

Ukifingua box ndio unjua cat yupo kwenye state gani.

Ukisema schrodinger eqn ipo proven inamaanisha kabla hatuja fungua box tunajua paka ldb yupo hai au amekufa hii inaondoa maana kabisa ya hii theory

Umesoma wapi ? Unapingaje vitu ambavyo vipo wazi.
AI inathibitisha yenyewe kuwa imekuwa train with a loat of data, unapos4ma text tu nashi dwa kukuelewa basi ingeitwa akili ya text.
AI ina express eguations vizuri tu.
N8meenda ku screenshot ili kuonyesha ulivyo muongo.
View attachment 2830543
Computer doesn't know text but characters. Mathematical symbols are characters and can be understood by any machine. AI as part of machine can understand make expressions, idiom,theorems laws etc.
Niliteutegemea utaleta kitu cha kuwezesha watu kuelewa hapa kumbe wewe mwenyewe huelewi. Kama hujui ungesema tu sijui sio kusema eti AI blabla kibao.
Physics ya form 3 inakushida AI ndo utaziweza. Kuwa mpole tukuelimishe kam elimu ya darasani imeshidwa kuku-komboa
 
Msitumie lugha mbaya nikiwa mtu anaonekana hana ufahamu mzuri kuhusu AI tumieni lugha zisizotweza utu, fafanua jambo vizuri sio inamaliza kwa kusema wewe hujui hajui ni I hata hicho alichosema ndicho anachojua fafanua kwa kukosoa kwa lugha nzuri.

Wengi humu nataka umwamba hahaha, ngoja nami none vichwa hapa kwenye AI
Hao ndiyo wasomi wetu. Atakuamba wewe hujui chochote na hiki ndicho kilifanya jukwaa la tech kufa.
Mtu anaelezea anachojua ila anatokea jamaa mmoja anajifanya anajua zaidi. Jukwaa likawa linapumulia mpira. Mtu anawaza, nikichangia hata hiki kidogo kuna mtu atakuja kunikosea kwa maneno yenye kejeli, anaacha.
Jukwaa la tech ndilo lilinifanya nijiunge na JF ila sasa watu wamepoa sana
 
Msitumie lugha mbaya
Aise kama umefika chuo, aliekua analipa ada hapa amepoteza bora angefunga ng'ombe. Kwa hivyo mkuu siku hizi electron zipo constantly kwenye specific position???.

Ukiweza ku prove schrodinger eqn ina maana unajua atom ipo kwenye state gani. Schrödinger cat akiwa kwenye box ina state kwamba cat yupo hai, na amekufa kwa wakati mmoja.

Ukifingua box ndio unjua cat yupo kwenye state gani.

Ukisema schrodinger eqn ipo proven inamaanisha kabla hatuja fungua box tunajua paka ldb yupo hai au amekufa hii inaondoa maana kabisa ya hii theory

Physics ya form 3 inakushida AI ndo utaziweza. Kuwa mpole tukuelimishe kam elimu ya darasani imeshidwa kuku-komboa
If you understand quantum mechanics then you have not understood quantum mechanics. FAYMAN
 
Aise kama umefika chuo, aliekua analipa ada hapa amepoteza bora angefunga ng'ombe. Kwa hivyo mkuu siku hizi electron zipo constantly kwenye specific position???.

Ukiweza ku prove schrodinger eqn ina maana unajua atom ipo kwenye state gani. Schrödinger cat akiwa kwenye box ina state kwamba cat yupo hai, na amekufa kwa wakati mmoja.

Ukifingua box ndio unjua cat yupo kwenye state gani.

Ukisema schrodinger eqn ipo proven inamaanisha kabla hatuja fungua box tunajua paka ldb yupo hai au amekufa hii inaondoa maana kabisa ya hii theory

Physics ya form 3 inakushida AI ndo utaziweza. Kuwa mpole tukuelimishe kam elimu ya darasani imeshidwa kuku-komboa
Wewe unachanganya mambo. Science ukiiendea kichwa kichwa lazima uchanganyikiwe. Connect dots!.

Umeshindwa kukanusha kuwa chatgpt haiwezi kueleza mathematical equation, expressions bali texts tu, tena ukadai niachane nayo. Nimekuwekea screen shot kupingana na statement yako.

Kuhusu schrodinger eqtn mimi si mbobevu ndio maana nilitaka kutumia AI nione inaweza kunisaidia vipi to understand abstract concepts za qm

Ukweli ni kwamma theoretically schrodinger alitumia methematical analysis ku derive eqtn
Lakini ktk basic physics vitabu vimeeleza wazi you can use"phenomelogical approach" to derive schrofinger equations.
Labda nolitakiwa niseme derive not prove( hisabati zaidi)
You use classical michanics to derive eqtn. Sitaki ku complicate zaidi.
Ni hivi
. To prove theory
.To prove equation.
They are two different thing
Mimi niliiomba AI i prove schrodi ger eqtn sio quantum theory( wewe hapa ndio umechanganya).
Asa far as i have learned science; phsical eqtn or formula are just way to express physical phenomena but not a necessary means to prove physical existance of phenomena until expermental result comply with eqtn.

Eqt summarize the theory.
We can reach to the conclusion by even assumption analysis .
Assume that electron is a particle not wave.
Where will you reach ?
The whole realm of classical mechanic works!
But if you add wave concept it end there it become obsolete!
Quantum mechsnics combine
The BIG
and
The SMALL.

Usikariri! halafu usikimbie mada.
Hapa tunazungumzia vitu rahisi, vipi AI itatusaidia kutupa matokeo mazuri, mfano nataka nadharia ya mzungiko wa damu inichoree 3D heart na kuniwekea udambwi udambwi wote.

Hayo mengine wewe na mimi sote tunababaisha tu. Tungekuwa tunajua tungekuwa tunajua tungekuwa maabara ya" GOOGLE QUANTIM COMPUYING RESEARCH LAB".
Au TANZANIA QUANTUM COMPUTING RESEARCH LAB ambayo imo tumboni kwa mama yake.
Hata AI, sijaona modal ya mtanzania, hivyo tusizinguane. We are just AI app user MF!
 
Kwani AI imeshindwa kuwasaidia Palestina kuwaondoa Mayahudi pale Gaza? Alawakubar
 
Back
Top Bottom