Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Basi upo sawa, ila upotoshaji si sawa. Kama mtu hana jawabu asitoe jawabu la uongo. Maana hii karne sio ya kudanganya, tupo karne nyingine kabisa. At instant unaweza hakikisha jibu la mtu ni kweli au sio kweli.Hao ndiyo wasomi wetu. Atakuamba wewe hujui
Unaonaje mwalimu na yeye anapomuuliza mwanafunzi akakosea akawa anawajibuBasi upo sawa, ila upotoshaji si sawa. Kama mtu hana jawabu asitoe jawabu la uongo. Maana hii karne sio ya kudanganya, tupo karne nyingine kabisa. At instant unaweza hakikisha jibu la mtu ni kweli au sio kweli.
Kudili na mwanafunzi sio sawa ku deal na mtu wa JF alie timamu.Unaonaje mwalimu na yeye anapomuuliza mwanafunzi akakosea akawa anawajibu
Wewe ni mpumbavu hujui, wewe ni mjinga jibu siyo hilo, hujui kaa kimya
Unafikiri huyo mwalimu atakuwa sahihi?
Ni ukosefu wa akili, hekima, busara na kujitojitambua ndiyo husababisha mtu awe na majibu ya ovyo na kujiona bora kuliko mwingine
inaitwaje hiyo?aisee kuna deep ai ambayo inajibu adi kwa kisukuma
Ipi hiyo??aisee kuna deep ai ambayo inajibu adi kwa kisukuma
Hivi mtu kama Malaria 2 anawezaje kuongelea mambo kama haya?Kwani AI imeshindwa kuwasaidia Palestina kuwaondoa Mayahudi pale Gaza? Alawakubar